Tour in Zanzibar

Tour in Zanzibar

Karibuni ndugu zangu kwa wale ambao watahitaji Apartment pia nitawatafutia

Zanzibar ni njema atakae aje
Lengo langu nikae siku 8 huko na tupo wawili je niandae shingapi kuanzia gharama za hotel na chakula?
 
Lengo langu nikae siku 8 huko na tupo wawili je niandae shingapi kuanzia gharama za hotel na chakula?
Apo inategemea ww untaka kutembea sehemu zipi na ulale hoteli ya hadhi ipi ni PM tuongee vizuri ndugu
 
Karibuni december hii tumalizie likizo yetu kwa furaha kabisaa

Karibuni Zanzibar
 
Back
Top Bottom