Upo mtumishi?Zanzibar mji wa amani, umejaa Neema, mnakaribishwa nyote wakati wowote. Karibu sana Mtumishi
Upo mtumishi?
Ahsante sana mkuu, ntakaribiaaKaribu dada angu
I have never been to Zanzibar , kabla mwaka haujapinduka huu natamani kupafahamu[emoji39]
Ahsante mkuu, siku ya kuja nishapata wenyejiKaribu Zanzibar
Tuwa GAIDI wa nini huogopi atajilipua na bomu!? ππBabe makaveli10 unapajua au tutamuhitaji tour guide?
Umenishinda tabiaπ€£π€£π€£Tuwa GAIDI wa nini huogopi atajilipua na bomu!? ππ
Hakuna haja ya tour guide, kwanza na hizo aibu zako kuna burudanj nitaikosa, nitataka kukula mate utamuonea aibu tour guide na UGAIDI wake. π
Ukinishindwa wewe, hakuna kiumbe chochote hapa duniani kitaniweza. ππUmenishinda tabiaπ€£π€£π€£
Mtumishi, hatimaye..!!ππZanzibar mji wa amani, umejaa Neema, mnakaribishwa nyote wakati wowote. Karibu sana Mtumishi
Your Tour guideMtumishi, hatimaye..!!ππ
ERoni nakusalimu mkuu π₯Έπ΅βπ«π΅βπ«π΅βπ«π«¨π«¨π«¨Babe makaveli10 unapajua au tutamuhitaji tour guide?