Tourist Attractions in Tanzania East Africa

Tourist Attractions in Tanzania East Africa

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Nawasalimia wana JF. Poleni na kazi zenu. Leo napenda kuwaletea vivutio vya kitalii nchini Tanzania.

Kuna jambo limekuwa likisumbua hapa Africa Mashariki kuhusu common visa. Kwamba mtalii akija nchi yeyote iliyo Africa mashariki anajivinjari bureee nchi zote.

Sasa napenda leo kuleta vivutio vilivyopo tanzania ili tuangalie faida na hasara zilizopo kwenye issue hii.

Nitakuwa naleta sifa za kila kivutio na picha. Ikiwezekana nitaweka video kabisa. Nawaomba wale wenye hasira wajaribu kunywa maji ili hasira zao zipoe. Maana hakuna namna ya kuweza kuwatibu hasira zao.

Places To go » Tanzania Tourist Board

ZIWA NGOZI

Ziwa Ngozi lililo juu ya kilele cha milima ya Uporoto huko Rungwe,.jpg


Lake Ngozi - Wikipedia

Ziwa hili liko Rungwe Mbeya. Ziwa hili ni la maajabu sana limetokana na volcano.

Karibuni tujadili.
 
Haha annael unanifrahisha sometimes
 
Gombe Stream National Park
Gombe Stream National Park - Wikipedia

Hiki ni kivutio kilichopo kigoma. Kinasifika kwa kuwa na sokwe wengi.
Hivi kweli mtalii aje kenya ambako hakuna sokwe na aingie tanzania bwerere bila hata kulipa.
Naona hiyo visa ya pamoja haitufai sisi
Gombe National Park – Travel guide, Map _ More!.jpg
 

Attachments

  • Gombe National Park – Travel guide, Map _ More!.jpg
    Gombe National Park – Travel guide, Map _ More!.jpg
    73.8 KB · Views: 88
Mafia Island
Mafia Island - Wikipedia
Hiki ni kisiwa kipo ndani ya bahari ya hindi. Kuna beaches nzuri sana. Na unaweza kwenda na kupata upepo mzuri sana. Hotels zipo nzuri tu.
Mafia - Tanzania - Destination Plongée - les meilleures destinations ___.jpg
Mafia Island, Tanzania _ Recurrent Dream _ Pinterest.jpg
isola di mafia si trova a 25 chilometri dalle coste della tanzania e ___.jpg
 
Mbozi Meteorite
Mbozi meteorite - Wikipedia
Hiki ni kimondo kilicho dondoka kutoka angani.
Kipo wilayani mbozi mkoa wa mbeya.
Unaweza tembelea huko na kuona maajabu

KIMONDO KILICHOPO WILAYA YA MBOZI MKOANI MBEYA NI SEHEMU YA KIVUTIO_.jpg
 
Amani Nature Reserve
Amani Nature Reserve - Wikipedia

Hili eneo lipo tanga katika milima ya usabara. Huko utapata flora and fauna.
Kama unataka kufanya reseach yako tembelea huko

Panoramio - Photo of amani nature reserve, amani, tanga, tanzania(1).jpg
 
Back
Top Bottom