Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Nawasalimia wana JF. Poleni na kazi zenu. Leo napenda kuwaletea vivutio vya kitalii nchini Tanzania.
Kuna jambo limekuwa likisumbua hapa Africa Mashariki kuhusu common visa. Kwamba mtalii akija nchi yeyote iliyo Africa mashariki anajivinjari bureee nchi zote.
Sasa napenda leo kuleta vivutio vilivyopo tanzania ili tuangalie faida na hasara zilizopo kwenye issue hii.
Nitakuwa naleta sifa za kila kivutio na picha. Ikiwezekana nitaweka video kabisa. Nawaomba wale wenye hasira wajaribu kunywa maji ili hasira zao zipoe. Maana hakuna namna ya kuweza kuwatibu hasira zao.
Places To go » Tanzania Tourist Board
ZIWA NGOZI
Lake Ngozi - Wikipedia
Ziwa hili liko Rungwe Mbeya. Ziwa hili ni la maajabu sana limetokana na volcano.
Karibuni tujadili.