CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Nchi inaweza ikafunga aina fulani ya content, just like, TISS au COUNTER TERRORISM (CT), wanaweza kuset kwamba Mtu akipiga simu akitumia Neno fulani basi automatic simu inakuwa directed kwao na wao wanaanza kusikiliza au kusoma convo mnazochat.Kwa tovuti sina shidaa ila hizo account za facebook na instagram ndo nashangaa wamezifunga vip...
Hivyo hivyo kwenye mitandao ya Kijamii zipo huduma za kuweza kublock aina fulani ya Content kwa nchi fulani huwezi andika au sambaza.