Tovuti 334, akaunti za Facebook 361, Instagram 198 zafungiwa kwa kutangaza Mapenzi ya jinsia moja

Tovuti 334, akaunti za Facebook 361, Instagram 198 zafungiwa kwa kutangaza Mapenzi ya jinsia moja

Tikitoko vp wamepona maana inasemekana huko kuna mashog
Wa kumwaga

Ova
 
Hili Jambo limeshikiwa kidete ni kama kuna watu au taasisi flan ambayo imesema lazima tanzania kuwe na mapenzi ya jinsia moja

Ushoga Tanzania ulikuwepo, upo, na utaendelea kuwepo

Most important thing ni upande wa malezi Tu, na wala sio sheria,

Coz hata kama unaweka sheria itafanya kazi vipi while Hilo Jambo ni Jambo la Siri?

Utajuaje kama hawa watu ni mashoga? Kwa ushahidi gani?

Knowledge ya malezi ni Jambo la msingi Sana Kwa sasa
Umemalizaaa kila kituuu.
 
Tovuti sawa wanaweza kublock zisionekane...
Account moja moja ni uongo, mpka meta wao ndo wazifunge!
Hata hizo tovuti wame block zisionekane public, ila mbna watu wako huko wanaserereka km hakijatokea vitu vilee.
 
Yan walienda kuongea na META wazifungie ama..

kuna kitu nakosa hapa
inawezekana kabisa kufungia account ya mtu fb au insta

kila account ya fb(au insta) inakua na unique URL yake mf: facebook.com/some_unique_id au insta.com/some_unique_id

so wakizi black-list hizo URLs kwenye firewalls zao huko, account haitapatikana tena, mpaka kwa VPN
 
😀😀😀yan wamewafanya watumie Vpn kuingia then tunakuja kuambiwa wamefungiwa kwel....

pia mbona hii hawakufanya kwa watu wanaowasumbua kama Mange kimambi kipindi kile
 
bado, tunataka ruhusa kisheria tuanze kuhangaika na hawa ma bwabwa mitaani.
 
inawezekana kabisa kufungia account ya mtu fb au insta

kila account ya fb(au insta) inakua na unique URL yake mf: facebook.com/some_unique_id au insta.com/some_unique_id

so wakizi black-list hizo URLs kwenye firewalls zao huko, account haitapatikana tena, mpaka kwa VPN
Sasa ndo wamefanya nn hapoo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom