Tovuti 334, akaunti za Facebook 361, Instagram 198 zafungiwa kwa kutangaza Mapenzi ya jinsia moja

Kwa tovuti sina shidaa ila hizo account za facebook na instagram ndo nashangaa wamezifunga vip...
Nchi inaweza ikafunga aina fulani ya content, just like, TISS au COUNTER TERRORISM (CT), wanaweza kuset kwamba Mtu akipiga simu akitumia Neno fulani basi automatic simu inakuwa directed kwao na wao wanaanza kusikiliza au kusoma convo mnazochat.

Hivyo hivyo kwenye mitandao ya Kijamii zipo huduma za kuweza kublock aina fulani ya Content kwa nchi fulani huwezi andika au sambaza.
 
CARDLESS hiyo ni tofauti na kufunga akaunti ya mtu mmoja mmoja. China wameizuia Google lakini huwezi kuzuia akaunti moja moja ya FaceBook na Instagram kwa kuwa uwezo huo wanao wenye Kampuni zao!!
 


Hili Jambo limeshikiwa kidete ni kama kuna watu au taasisi flan ambayo imesema lazima tanzania kuwe na mapenzi ya jinsia moja

Ushoga Tanzania ulikuwepo, upo, na utaendelea kuwepo

Most important thing ni upande wa malezi Tu, na wala sio sheria,

Coz hata kama unaweka sheria itafanya kazi vipi while Hilo Jambo ni Jambo la Siri?

Utajuaje kama hawa watu ni mashoga? Kwa ushahidi gani?

Knowledge ya malezi ni Jambo la msingi Sana Kwa sasa
 
CARDLESS hiyo ni tofauti na kufunga akaunti ya mtu mmoja mmoja. China wameizuia Google lakini huwezi kuzuia akaunti moja moja ya FaceBook na Instagram kwa kuwa uwezo huo wanao wenye Kampuni zao!!
 
Yan walienda kuongea na META wazifungie ama..

kuna kitu nakosa hapa


tumewaza pamoja, Unakwenda kuwaambia Meta wafungie tovuti huku wao wanasupport hiyo diversity na wako sensitive chini ya beberu mwenyewe.. kitendo tu cha kwenda na hiyo hoja nao wanaondoa huduma yao Tanzania.
 
Mbona ni rahisi tu TCRA wanaweza wasiliana na makampuni hayo na acc zinafungwa
Tovuti ni rahisi kuzifunga...

ila kwa account za instagram na facebook.. tumepigwa serikali haiwezi tia neno as long hizo account hazijaviolate policy zao huwezi fungia
 
TCRA wana access ya kuweza kublock huduma fulani kwenye nchi hii, iwe specific au General, unaweza kufungiwa.

Umejiuliza mbona Tovuti za Ngono, au ukiingia YOUTUBE akaunti za ngono huzioni?
Tovuti sawa wanaweza kublock zisionekane...
Account moja moja ni uongo, mpka meta wao ndo wazifunge!
 
Nape asinunue TEF kuficha wezi wa CAG Ili waandike mambo ya ushoga.
 

Si kweli hilo jambo limejadiliwa less than 5 minutes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…