Tovuti gani nzur kwa kuperuz maswali na majibu...hasa kwa ajiri ya assigment?

Tovuti gani nzur kwa kuperuz maswali na majibu...hasa kwa ajiri ya assigment?

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
Msaada wakuu yaani iwe ile iliyobeba topic kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo..ahsanten wapendwa nasubir michango yenu!
 
Nafikiri kama unasoma chuo cha "maana",
nakushauri uende library yenu watakusaidia "search engines" zitakazokupatia resources za academics.
vilevile chuo naamini itakuwa na sources za material wanazoshirikiana nazo maana ninavyojua sources zenye material ya kuaminika huwa ni za kulipia so, chuo wanakuwa na sources wanazoshirikiana nao na utaweza kupata reliable material bure.
 
Mkuu ONDURU nashukuru umenielewa na kunijibu kwa busara....... ila hawa Jamaa wawili FRANK na ERICK cjui wanaugonjwa gani.. yaan wako nje ya mada kabsa!
 
Msaada wakuu yaani iwe ile iliyobeba topic kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo..ahsanten wapendwa nasubir michango yenu!

Duh! Kama hali imefikia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu anaingia kwenye mtandao kuperuzi maswali na majibu ya assignments za Elimu yake ya Chuo Kikuu, tunakwenda wapi? Are we sure we are on the right direction? Mambo ni rahisi kihivyo siku hizi?
 
Ndugu yangu, sidhani kama hicho unachokiuliza ni rahisi kukipata. Lecturers hawawezi kutoa kazi ambayo mtu anakwenda tu mahali, anacopy na kupaste kwenye karatasi, sahau hiyo kabisa.

Kama upo chuo/au unategemea kwenda chuo, kitakachokusaidia katika masomo yako ni kusoma vitabu mbalimbali, kuperuzi kwenye mitandao nk. Ukipitia vyanzo mbalimbali na kuunganisha mawazo tofautitofauti unaweza kupata majibu ya assignments zako nk.

Mi sidhani kama ni rahisi kupata moja kwa moja kitabu au tovuti ambayo unawezapata maswali yote ya assignments. Mimi binafsi niliwahi kufanikiwa kupata kitabu kimoja ambacho mzee mmoja alikuwa anatumia kutoa notes na assignments zake. Embu fikiria kati ya course 9, nikapata 1.
 
Ndugu yangu, sidhani kama hicho unachokiuliza ni rahisi kukipata. Lecturers hawawezi kutoa kazi ambayo mtu anakwenda tu mahali, anacopy na kupaste kwenye karatasi, sahau hiyo kabisa. Kama upo chuo/au unategemea kwenda chuo, kitakachokusaidia katika masomo yako ni kusoma vitabu mbalimbali, kuperuzi kwenye mitandao nk. Ukipitia vyanzo mbalimbali na kuunganisha mawazo tofautitofauti unaweza kupata majibu ya assignments zako nk. Mi sidhani kama ni rahisi kupata moja kwa moja kitabu au tovuti ambayo unawezapata maswali yote ya assignments. Mimi binafsi niliwahi kufanikiwa kupata kitabu kimoja ambacho mzee mmoja alikuwa anatumia kutoa notes na assignments zake. Embu fikiria kati ya course 9, nikapata 1.
mkuu huu nao ni mfumo mzuri wa kutafuta materials, maana kupitia tovuti hzo mwanafunzi hukutana na mijadala pamoja na topic mbalimbali ambazo zinaweza kumsaidia kuwa na uwanja mpana wa kujibu maswali...kama ulikuwa hujui ndo ujue hvyo!
 
Duh! Kama hali imefikia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu anaingia kwenye mtandao kuperuzi maswali na majibu ya assignments za Elimu yake ya Chuo Kikuu, tunakwenda wapi? Are we sure we are on the right direction? Mambo ni rahisi kihivyo siku hizi?

Vijana wako busy kutafuta VYETI na sio ujuzi.. Ndo kwenye graduation ceremony akitakiwa ku acknowledge waliom support utaskia nashukuru Google,wikipedia, ehow .......
 
Ndugu yangu, sidhani kama hicho unachokiuliza ni rahisi kukipata. Lecturers hawawezi kutoa kazi ambayo mtu anakwenda tu mahali, anacopy na kupaste kwenye karatasi, sahau hiyo kabisa.

Kama upo chuo/au unategemea kwenda chuo, kitakachokusaidia katika masomo yako ni kusoma vitabu mbalimbali, kuperuzi kwenye mitandao nk. Ukipitia vyanzo mbalimbali na kuunganisha mawazo tofautitofauti unaweza kupata majibu ya assignments zako nk.

Mi sidhani kama ni rahisi kupata moja kwa moja kitabu au tovuti ambayo unawezapata maswali yote ya assignments. Mimi binafsi niliwahi kufanikiwa kupata kitabu kimoja ambacho mzee mmoja alikuwa anatumia kutoa notes na assignments zake. Embu fikiria kati ya course 9, nikapata 1.

Huyo mzee atakuwa dr. Mreta na course yake ya comparative grammar.. hahahaaa... "read between lines" ndo wito wake..
 
mkuu huu nao ni mfumo mzuri wa kutafuta materials, maana kupitia tovuti hzo mwanafunzi hukutana na mijadala pamoja na topic mbalimbali ambazo zinaweza kumsaidia kuwa na uwanja mpana wa kujibu maswali...kama ulikuwa hujui ndo ujue hvyo!

wewe! Embu soma title ya thread yako vizuri, yaani wewe unataka source ambayo utakwapua maswali na majibu ya assignments???
mh! Kazi unayo ndugu. Sijasema usi surf kwenye mitandao lakini, wewe unataka eti upate mitandao ambayo utapata maswali na majibu ya assignments, kitu ambacho sijawahi kuona.
 
Huyo mzee atakuwa dr. Mreta na course yake ya comparative grammar.. hahahaaa... "read between lines" ndo wito wake..

hahahahaaa! Sio hvyo Baba V, kuna course flani hivi ya hesabu nilisoma na nilikuwa na kitabu kimoja katika soft copy ambacho mzee mmoja alikuwa anapenda kukitumia pia. Hivyo tulikuwa tunabahatisha baadhi ya maswali humo.
 
Last edited by a moderator:
Vijana wako busy kutafuta VYETI na sio ujuzi.. Ndo kwenye graduation ceremony akitakiwa ku acknowledge waliom support utaskia nashukuru Google,wikipedia, ehow .......

Ukiongelea majanga ya Kitaifa, hili nalo litakuwa kwenye top 5! Hebu fikiria aina hii ya Wasomi wetu ndo wamo katika Sekta karibia zote - Udaktari, Sheria, Mahakama, Kilimo, Mifugo, Siasa, Dini, Utapeli, Michezo, Mapato, Serikalini, Usanii, Usafirishaji, Mipango Miji, n.k., n.k.!

Na hii ni "tip of an iceberg" tu. Huko ndani pakoje? Inakatisha tamaa!
 
Msaada wakuu yaani iwe ile iliyobeba topic kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo..ahsanten wapendwa nasubir michango yenu!

mkuu Majigo habari yako!!!

kwanza kabisa naomba nikuulize swali..
1. huu ni mwaka wako wa kwanza chuoni au ni continuing student?

kama wewe ni first year, naomba uwasiliane na waalimu wako kwa kila module inayofundishwa..

kwanini nasema uwasiliane na waalimu wako??

waalimu wa vyuo wanatofautiana mbinu za ufundishaji na utoaji wa material. hivyo pia kwa assignments zozote pia wanaweza kuku-guide kuwa utoe vitabu fulani ambavyo huwa wao wanaviorodhesha kwenye module outline.. ukifanya tofauti.. unaliwa kichwa! kumbuka vyuoni hamna necta, ni hao hao lecturers ndio wanaokuwezesha kufaulu ama kufeli!

pia, naomba nikushauri kuwa, pitia material mbalimbali ambazo ni 'relevant to your study' ili kuongeza knowledge!

mwisho : unapokuwa chuoni, ishi kwa amani na wanafunzi wenzio pamoja na waalimu wako!!!

good day bro.. masomo mema!!
 
Last edited by a moderator:
Sio mbaya ku2mia net kufanya assgment ila jitahidi ku2mia vitabu na kwenda library mana internet zinasababisha darasa zima wawe na kazi inayo fanana kila ki2 kwa uvivu wa kusoma .
 
Sio mbaya ku2mia net kufanya assgment ila jitahidi ku2mia vitabu na kwenda library mana internet zinasababisha darasa zima wawe na kazi inayo fanana kila ki2 kwa uvivu wa kusoma .

[COLOR=#COCOCO]what a great point[/COLOR]
 
Back
Top Bottom