Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaada wakuu yaani iwe ile iliyobeba topic kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo..ahsanten wapendwa nasubir michango yenu!
mkuu huu nao ni mfumo mzuri wa kutafuta materials, maana kupitia tovuti hzo mwanafunzi hukutana na mijadala pamoja na topic mbalimbali ambazo zinaweza kumsaidia kuwa na uwanja mpana wa kujibu maswali...kama ulikuwa hujui ndo ujue hvyo!Ndugu yangu, sidhani kama hicho unachokiuliza ni rahisi kukipata. Lecturers hawawezi kutoa kazi ambayo mtu anakwenda tu mahali, anacopy na kupaste kwenye karatasi, sahau hiyo kabisa. Kama upo chuo/au unategemea kwenda chuo, kitakachokusaidia katika masomo yako ni kusoma vitabu mbalimbali, kuperuzi kwenye mitandao nk. Ukipitia vyanzo mbalimbali na kuunganisha mawazo tofautitofauti unaweza kupata majibu ya assignments zako nk. Mi sidhani kama ni rahisi kupata moja kwa moja kitabu au tovuti ambayo unawezapata maswali yote ya assignments. Mimi binafsi niliwahi kufanikiwa kupata kitabu kimoja ambacho mzee mmoja alikuwa anatumia kutoa notes na assignments zake. Embu fikiria kati ya course 9, nikapata 1.
Duh! Kama hali imefikia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu anaingia kwenye mtandao kuperuzi maswali na majibu ya assignments za Elimu yake ya Chuo Kikuu, tunakwenda wapi? Are we sure we are on the right direction? Mambo ni rahisi kihivyo siku hizi?
Ndugu yangu, sidhani kama hicho unachokiuliza ni rahisi kukipata. Lecturers hawawezi kutoa kazi ambayo mtu anakwenda tu mahali, anacopy na kupaste kwenye karatasi, sahau hiyo kabisa.
Kama upo chuo/au unategemea kwenda chuo, kitakachokusaidia katika masomo yako ni kusoma vitabu mbalimbali, kuperuzi kwenye mitandao nk. Ukipitia vyanzo mbalimbali na kuunganisha mawazo tofautitofauti unaweza kupata majibu ya assignments zako nk.
Mi sidhani kama ni rahisi kupata moja kwa moja kitabu au tovuti ambayo unawezapata maswali yote ya assignments. Mimi binafsi niliwahi kufanikiwa kupata kitabu kimoja ambacho mzee mmoja alikuwa anatumia kutoa notes na assignments zake. Embu fikiria kati ya course 9, nikapata 1.
mkuu huu nao ni mfumo mzuri wa kutafuta materials, maana kupitia tovuti hzo mwanafunzi hukutana na mijadala pamoja na topic mbalimbali ambazo zinaweza kumsaidia kuwa na uwanja mpana wa kujibu maswali...kama ulikuwa hujui ndo ujue hvyo!
Huyo mzee atakuwa dr. Mreta na course yake ya comparative grammar.. hahahaaa... "read between lines" ndo wito wake..
Vijana wako busy kutafuta VYETI na sio ujuzi.. Ndo kwenye graduation ceremony akitakiwa ku acknowledge waliom support utaskia nashukuru Google,wikipedia, ehow .......
bongo5
Waptrik na hulkshare
Msaada wakuu yaani iwe ile iliyobeba topic kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo..ahsanten wapendwa nasubir michango yenu!
Sio mbaya ku2mia net kufanya assgment ila jitahidi ku2mia vitabu na kwenda library mana internet zinasababisha darasa zima wawe na kazi inayo fanana kila ki2 kwa uvivu wa kusoma .