Tovuti ya CHADEMA bado inatangaza Lissu kuteuliwa kuwa mgombea

BIN BOR

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
1,013
Reaction score
407
Nimeambatanisha screenshot 2. Moja ni tovuti ya chadema na ya pili ni tovuti ya republicans wa Marekani. Japo siungi mkono GOP ninataka CHADEMA kuona aibu hii ya kuwa nyuma sana kutoa mrejesho kwa watu wenye mapenzi na chama.
 
Hebu wekeni thread za chama mama kuja na mambo mazito maana wapinzani walikuwa wanachelewesha maendeleo na achaneni na chadema si imechemka kwenye uchaguzi?
 
Nimeambatanisha screenshot 2. Moja ni tovuti ya chadema na ya pili ni tovuti ya republicans wa Marekani. Japo siungi mkono GOP ninataka chadema kuona aibu hii ya kuwa nyuma sana kutoa mrejesho kwa watu wenye mapenzi na chama.

Hujui kuwa internet ni tatizo
 
Labda Admin wa Chadema amejificha kwenye vichaka vya Maili Tisa, Kenya, akiwa mbioni kwenda uhamishoni.
 
Vyama vya uchaguzi na kusaka ruzuku,siku zote haviko makini
 
Sijui kwanini Lissu haitwi Rais wa Mioyo ya wana Chadema kama Dr Slaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…