Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeambatanisha screenshot 2. Moja ni tovuti ya chadema na ya pili ni tovuti ya republicans wa Marekani. Japo siungi mkono GOP ninataka chadema kuona aibu hii ya kuwa nyuma sana kutoa mrejesho kwa watu wenye mapenzi na chama.
Hahahahahaha.....!!Labda Admin wa Chadema amejificha kwenye vichaka vya Maili Tisa, Kenya, akiwa mbioni kwenda uhamishoni.