chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 902
Kaka huu ni upande wa usajiri..registrations..Home - tzNIC then ukiweka domain hiyi hapo juu itasema taken, then ukifungua details ndo utaona lini inabidi iwe expired..Ila kwa Upande wa HOSTING inawezekana kabisa Wizara haijalipia huduma...
kama haijapita wiki basi inakarbia....sasa mtwambie ni data gani hzo znachukua mda mrefu namna hii?
Watakuwa wanaingiza data fulani
Duniani mimi nimeona wengi ila Ninyi Pro-CHADEMA ni wa peke yenu na ni nyinyi tu pekee. Hongera zenu. Yaani ninyi mmefikia mpaka hatua ya kubishana na sayansi.
Ukiambiwa ukifunga breki ghafla utatokea dirishani unabisha kisa eti wewe chadema, ukiambiwa ukitaka gia iingie kanyaga cluch kwanza unabisha eti wewe chadema,ukiambia ukiingiza data kubwa kwenye web;inabidi uzuie kwanza unabisha eti wewe chadema.
Basi hongera zenu pro-chadema.Ninyi mtafikia hatua wakati wenzenu wanaendesha kushoto kushoto,ninyi mnachomekea kulia kisa wapinzani. Acheni hizo mnahafedhehesha waasisi wa chama.
Kama ilivyokuwa kwa website ya(dullonet) (Netfirms | This account has been suspended) ilivyofungiwa na netfirms ndivyo ilivyo hata sasa kwa tovuti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Tanzania imezuiliwa na haifunguki sababu kuu ni hii
Kwa kuprove bonyeza hapa : Suspended Domain
Kwa haraka haraka sababu hiyo kwenye blue sio ya kweli maana ingekuwa hivyo kama wangekuwa wamepost matokeo ya Form IV kitu ambacho bado. Ukweli ni kwamba wame run out of resources. Hii ina maana Web host kawakatia huduma. Wizara haina fedha hata ya kulipia website.
Imani yangu wakijiona hapa watashtuka. Pia inawezekana imefungwa ili wadau wasiweze kupata mtaala wa Elimu ambao Kawambwa aligoma kumpatia ndugu Mbatia. Hii nchi ni ya aina yake.
mkuu kumbe hii kitu bado?
Mkuu hii kitu kweli bado imepigwa kabari aisee! Huwezi ipata kwa w.w.w......