Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Uhuru
Turaireta mweimeti Meru..
Turaireta mweimeti Taraka Nyiti..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TribalismBinamu ya Uhuru amkosoa kuhusu kuidhinisha Raila
![]()
NA MWANGI MUIRURI
BINAMUYE Rais Uhuru Kenyatta amemkosoa kiongozi wa taifa akisema hatua yake ya kumuunga mkono Raila Odinga kuwa mrithi wake ni “kinyume cha kiapo kilicholishwa watu wa jamii ya Gema mnamo 1969”.
Bw Kung’u Muigai anasema waliokula kiapo hicho waliapa kuzuia babake Bw Odinga, Oginga Odinga na uzao wake kuchuka madaraka ya kuongoza Kenya.
Bw Kung’u alisema waliokula kiapo hicho wanapasa kutakaswa kabla ya kumuunga mkono Bw Odinga, la sivyo jamii ya Mlima Kenya ‘itapatwa na laana’.Alieleza kuwa uamuzi wa Rais Kenyatta kumuunga mkono Bw Odinga sio wa familia yote ya Kenyatta, mbali ni wake kama mtu binafsi.
Binamu ya Uhuru amkosoa kuhusu kuidhinisha Raila – Taifa Leo
taifaleo.nation.co.ke
Hivi Uchaguzi wa hawa ni Mwezi wa ngapi
Mbona wameanza Kampeni Mapema sana22/8/2022