Towards Success: The Triangle of Political Victory

Towards Success: The Triangle of Political Victory

With due respect...mimi sijapinga demokrasia! mimi naongelea umuhimu wa kuchambua sera za vyama wakati the problem is obvious. It was the same case during the search for independence. People were united behind one cause, which needs to be the case now. Lakini sidhani kama watu wanaona hilo. Ivi kuleta reliable power ni swala la sera? Kwanza wananchi hawana elimu ya kutosha kufuatilia mijadala ya sera! Kama umefuatilia elections sehemu nyingine unajua umuhimu wa swing votes. Chama chochote chenye busara kitapeleke solution la matatizo kwa ajili ya kura. Sidhani kama linakuwa ni swala la ideologies au base kwa swing voters.
So the formula can be simple... problem + solution = vote

Nadhani unanifanya niende mbele zaidi...
 
This is great MM. If you do not mind Mzee please tell us what should be done to close the missing link? I mean what should CHADEMA do to strenghten the weak base?
 
.
Nchi zilizoendelea zinaweza ku-afford kuwa na hizo minor differences in ideologies. Kwa mfano, taxation policy, health policy, nk!Umeelewa hiyo point kwanza?
Sasa wewe niambie kuna policies ngapi tofauti ambazo tunaweza kujadili na kulumbana ambazo zinaweza kutuletea umeme nchi nzima? Tatizo la Tanzania sio policies, ni utendaji. Thats my point! Hatuwezi kutofautiana katika policies pale ambapo hata hatua moja ya maendeleo hatujapiga. Huwezi kufananisha mahali Marekani ilipo sasa ivi na sisi tulipo. Hapo utakuwa unajidanganya. Kwa hali ya Tanzania leo, tupo over 500yrs behind the West. Tatizo wewe utaangalia barabara na majengo, alafu udhani solution ni kujenga tu hayo. Maendeleo hayaji kwa style hiyo. Ivi unadhani China imeendelea leo kutokana na sera zake mpya za the past 3 decades tu? Kasome Great Wall ilijengwa lini ndio utajua China sio watu wa juzi? Hapo ndipo utajua fibric za society ambazo zinaleta maendeleo sio kitu kinaletwa kwa kujenga majengo na barabara. It has to start with the thinking na hiyo 'fabric ya society'.
Sasa nyie mna-compare level ya siasi ya marekani ya leo na ya Tz?
By the way, unapoweka argument, sio unaniambia mimi nikatafute information za ku-prove argument yako. weka evidence mwenyewe tusome wote. This discussion is not just for my benefit, but for others too. Kwa hiyo naomba uweke hiyo mifano inayoonyesha specifically sera ya chama fulani ilisaidia nchi kuendelea badala ya sera ya chama kingine. Nasubiri hiyo evidence kwa hamu kweli! I guess industrial revolution ilichangiwa na political ideologies...hehhehe!!

Majibu ya hoja zako yangesadia sana katika mjadala. Ninaogopa sijui kama upo tayari kwa majadiliano ukizingatia kwa makusudi kabisa umeamua kuwekea watu maneno midomoni pengine kupotosha tu. Hoja zako unapoziandika kwa jazba na kejeli zinatukwaza wengine kwasababu si sehemu ya utamaduni wa majadiliano tuliouzoea.
 
Mhh...labda sikuwa clear...ngoja nikueleweshe:
kwanza sijasema siasi haina role yeyote katika maisha ya mtu.
Pili, sijasema kuwa sera za vyama havileti maendeleo kabisa.
Mimi naongelea fundamentals za maendeleo. Sijaongelea malumbano ya vitu simple ambavyo havina impact kubwa katika maisha ya watu. Ngoja nikuwekee mfano wa hizo 'major' differences za philosophies kati ya republicans na democrats wa US uone kama kuna tofauti kubwa katika fundamental ya maendeleo. And by that (fundamental za maendeleo), i mean chama kimoja kushika power sio mwisho wa maisha bora ya wamarekani. Kwa republicans kushinda kesho kutwa haina maana kuwa marekani itarudi nyuma kimaendeleo.

Republicans:
Believe taxes shouldn't be increased for anyone (including the wealthy) and that wages should reflect free marketDemocrats:
Favor minimum wages and progressive taxation i.e. higher tax rates for higher income brackets.

Nchi zilizoendelea zinaweza ku-afford kuwa na hizo minor differences in ideologies. Kwa mfano, taxation policy, health policy, nk!
Umeelewa hiyo point kwanza?
Sasa wewe niambie kuna policies ngapi tofauti ambazo tunaweza kujadili na kulumbana ambazo zinaweza kutuletea umeme nchi nzima? Tatizo la Tanzania sio policies, ni utendaji. Thats my point! Hatuwezi kutofautiana katika policies pale ambapo hata hatua moja ya maendeleo hatujapiga. Huwezi kufananisha mahali Marekani ilipo sasa ivi na sisi tulipo. Hapo utakuwa unajidanganya. Kwa hali ya Tanzania leo, tupo over 500yrs behind the West. Tatizo wewe utaangalia barabara na majengo, alafu udhani solution ni kujenga tu hayo. Maendeleo hayaji kwa style hiyo. Ivi unadhani China imeendelea leo kutokana na sera zake mpya za the past 3 decades tu? Kasome Great Wall ilijengwa lini ndio utajua China sio watu wa juzi? Hapo ndipo utajua fibric za society ambazo zinaleta maendeleo sio kitu kinaletwa kwa kujenga majengo na barabara. It has to start with the thinking na hiyo 'fabric ya society'.
Sasa nyie mna-compare level ya siasi ya marekani ya leo na ya Tz?
Okay, unataka kuongelea policies, sawa...tuongelee hilo. Tax policy iwaje? Education policy iwaje?
By the way, unapoweka argument, sio unaniambia mimi nikatafute information za ku-prove argument yako. weka evidence mwenyewe tusome wote. This discussion is not just for my benefit, but for others too. Kwa hiyo naomba uweke hiyo mifano inayoonyesha specifically sera ya chama fulani ilisaidia nchi kuendelea badala ya sera ya chama kingine. Nasubiri hiyo evidence kwa hamu kweli! I guess industrial revolution ilichangiwa na political ideologies...hehhehe!!

......duuhh.......aisee........it is very expensive kukwepa mambo ya msingi na ya ukweli.........
 
Mwanakijiji mimi sina kipingamizi na wewe hapo! Umechambua vyema na nimekuelewa vizuri but kuna issue moja hapo inanitatiza.

Unaposema CDM ina weak administrative structure una maana gani? Umesema wana-depend ktk personality ya watu ila kwa upeo wangu nadhani hili sio tatizo sababu personality is what makes politicians succesful.. Personality always signify mvuto wa chama kwa watu ni kama vile Charisma, hii nayo ni source of power km hiyo legal rational ambayo unaiwaza wewe, ile power iliyo na structures nyingi.

Ktk political base umesema CDM wapo very strong, je we hudhani kuwa hii personality administrative structure imefanikiwa ktk hili? Kwa CCM sipendi kuzungumzia, ninachojua hiki chama kimelack political inovations, creativity and strategies..sijui ktk triangle hii inafall wapi. Mafanikio yake mpaka sasa yanabebwa na historia ya waasisi..

Hebu nifafanulie hayo ya awali mkuu!
 
This is great MM. If you do not mind Mzee please tell us what should be done to close the missing link? I mean what should CHADEMA do to strenghten the weak base?

I find it interesting to chip in comments.
Let me reiterate that no matter how best is the triangle, if some ‘spicy' are missing the whole structure may not work as intended.

Secondly, I admit that CCM had the components of triangle at the inceptions. Unfortunate corruption, egoism and nepotism are taking down the part.

I will comment on Chadema because of its role as official opposition party which incase of unforeseen eventuality the public expect it to sit behind the wheel. Moreover like any other party CDM has no immunity to criticism.

Over the years CDM has gain momentum with all elements of triangle. I have no doubt on the base which is invigorated and energized by any political standard. Though the philosophy is not well elucidated, suffices to say it is there and has a room to be publicized.
The main problem is on administration structure and infrastructure which has subjected the organization to unnecessary reprehensive.

I should say though, the personalities forming the admin is strong embodying charismatic and elite group the likes of Tundu Lissu, Zitto, Mdee, Mbowe, Slaa, Mnyika etc, and I have enomous respect to those who work behind the scene, Kitila Mkumbo et al. However the cohesiveness of the group is in question, as we have often seen unpleasant modus operandi and trivial contradictions which could be resolved amicably.

CDM lacks effective communication within the party and now extended to political base. The reason could be lack of pundits and strategists.
CDM has lost the culture of communication with the base and public as whole. May be the admin structure is confused or in shamble therefore no one knows his or her responsibilities.

Two weeks ago when news from Arusha surfaced I pleaded to CDM to look the issue in wider prism because the ‘muafaka' will have ramifications. My point wasn't to reject it but to alert the CDM to communicate as an organization. I said openly guys heads up!

Now Lema is dissociating from muafaka, party members point finger to each other, allegations of bribery are brewing up and the base is totally demoralized. At this moment when the party is struggling to establish itself nationwide, this is a big setback.

If the admin would have worked as a functional team, the matter would have been solved peacefully.
Ok! The damage has been done what's next? I thought there could be the so called damage control; guess what, nothing so far!

As a result of disorganized administration CDM lacks the following:
1. Unidirectional 2. Collective decisions 3. Immediate reaction to news and events 4. Damage control strategy

Unless something is done, the history will repeat (NCCR, CUF)

Once again, don't take my opinion as an offense.
 
Majibu ya hoja zako yangesadia sana katika mjadala. Ninaogopa sijui kama upo tayari kwa majadiliano ukizingatia kwa makusudi kabisa umeamua kuwekea watu maneno midomoni pengine kupotosha tu. Hoja zako unapoziandika kwa jazba na kejeli zinatukwaza wengine kwasababu si sehemu ya utamaduni wa majadiliano tuliouzoea.

nimekuwekea maneno gani mdomoni? sina haja ya kupotosha mtu! Nimekukejeli wapi? Wewe ulipoandika uliandika kwa namna gani?
By the way, nilijua uta-comment hapo nulipo-highligh pekundu. Great Wall ilijengwa in2 centuries BC. At that time walikuwa wamesha-invent printing!! anyway...i guess nimeweka maneno mdomoni kwako na jazba...
 
Nadhani unanifanya niende mbele zaidi...

Whatever that means....but my side of the argument extends to the need of no political parties in a country trying to develop maana in reality hamna cha kuwatofautisha opinions. Which in one sense cld have made Nyerere's single party system sound reasonable, but we know how he refused differing opinions which led to the current problem of a very powerful mwenyekiti wa chama na raisi.
anyway...i was hoping unge-respond kwenye ile post nyingine. Maana haukuwa very clear failures za hizo 'sera' za ccm ni tatizo la nani!!
 
Kwanini Chadema Taifa wamechukua msimamo wa kutotambua muafaka wa Arusha? Wakati muafaka unafanyika wao walikuwa wapi? Na kwanini uongozi wa Taifa uamue kinachofanyika katika ngazi hiyo ya mkoa pale- kama Chadema Arusha waliamua kufikia muafaka kwanini uongozi wa Taifa ujaribu kunullify?
 
Mwanakijiji hebu nijibu post yangu hapo juu!
 
...that is exactly what you are doing.........duuh!

yea...my education hasn't helped and am just an ignorant guy accepting all information w/out filtering it through!
zidumu sera za vyama na mgao wa masaa 12....
It wld be interesting to know how many political parties in Africa have come to power through their superior ideologies and sera!!
 
Back
Top Bottom