Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #61
With due respect...mimi sijapinga demokrasia! mimi naongelea umuhimu wa kuchambua sera za vyama wakati the problem is obvious. It was the same case during the search for independence. People were united behind one cause, which needs to be the case now. Lakini sidhani kama watu wanaona hilo. Ivi kuleta reliable power ni swala la sera? Kwanza wananchi hawana elimu ya kutosha kufuatilia mijadala ya sera! Kama umefuatilia elections sehemu nyingine unajua umuhimu wa swing votes. Chama chochote chenye busara kitapeleke solution la matatizo kwa ajili ya kura. Sidhani kama linakuwa ni swala la ideologies au base kwa swing voters.
So the formula can be simple... problem + solution = vote
.
Nchi zilizoendelea zinaweza ku-afford kuwa na hizo minor differences in ideologies. Kwa mfano, taxation policy, health policy, nk!Umeelewa hiyo point kwanza?
Sasa wewe niambie kuna policies ngapi tofauti ambazo tunaweza kujadili na kulumbana ambazo zinaweza kutuletea umeme nchi nzima? Tatizo la Tanzania sio policies, ni utendaji. Thats my point! Hatuwezi kutofautiana katika policies pale ambapo hata hatua moja ya maendeleo hatujapiga. Huwezi kufananisha mahali Marekani ilipo sasa ivi na sisi tulipo. Hapo utakuwa unajidanganya. Kwa hali ya Tanzania leo, tupo over 500yrs behind the West. Tatizo wewe utaangalia barabara na majengo, alafu udhani solution ni kujenga tu hayo. Maendeleo hayaji kwa style hiyo. Ivi unadhani China imeendelea leo kutokana na sera zake mpya za the past 3 decades tu? Kasome Great Wall ilijengwa lini ndio utajua China sio watu wa juzi? Hapo ndipo utajua fibric za society ambazo zinaleta maendeleo sio kitu kinaletwa kwa kujenga majengo na barabara. It has to start with the thinking na hiyo 'fabric ya society'.
Sasa nyie mna-compare level ya siasi ya marekani ya leo na ya Tz?
By the way, unapoweka argument, sio unaniambia mimi nikatafute information za ku-prove argument yako. weka evidence mwenyewe tusome wote. This discussion is not just for my benefit, but for others too. Kwa hiyo naomba uweke hiyo mifano inayoonyesha specifically sera ya chama fulani ilisaidia nchi kuendelea badala ya sera ya chama kingine. Nasubiri hiyo evidence kwa hamu kweli! I guess industrial revolution ilichangiwa na political ideologies...hehhehe!!
Mhh...labda sikuwa clear...ngoja nikueleweshe:
kwanza sijasema siasi haina role yeyote katika maisha ya mtu.
Pili, sijasema kuwa sera za vyama havileti maendeleo kabisa.
Mimi naongelea fundamentals za maendeleo. Sijaongelea malumbano ya vitu simple ambavyo havina impact kubwa katika maisha ya watu. Ngoja nikuwekee mfano wa hizo 'major' differences za philosophies kati ya republicans na democrats wa US uone kama kuna tofauti kubwa katika fundamental ya maendeleo. And by that (fundamental za maendeleo), i mean chama kimoja kushika power sio mwisho wa maisha bora ya wamarekani. Kwa republicans kushinda kesho kutwa haina maana kuwa marekani itarudi nyuma kimaendeleo.
Republicans:
Believe taxes shouldn't be increased for anyone (including the wealthy) and that wages should reflect free marketDemocrats:
Favor minimum wages and progressive taxation i.e. higher tax rates for higher income brackets.
Nchi zilizoendelea zinaweza ku-afford kuwa na hizo minor differences in ideologies. Kwa mfano, taxation policy, health policy, nk!
Umeelewa hiyo point kwanza?
Sasa wewe niambie kuna policies ngapi tofauti ambazo tunaweza kujadili na kulumbana ambazo zinaweza kutuletea umeme nchi nzima? Tatizo la Tanzania sio policies, ni utendaji. Thats my point! Hatuwezi kutofautiana katika policies pale ambapo hata hatua moja ya maendeleo hatujapiga. Huwezi kufananisha mahali Marekani ilipo sasa ivi na sisi tulipo. Hapo utakuwa unajidanganya. Kwa hali ya Tanzania leo, tupo over 500yrs behind the West. Tatizo wewe utaangalia barabara na majengo, alafu udhani solution ni kujenga tu hayo. Maendeleo hayaji kwa style hiyo. Ivi unadhani China imeendelea leo kutokana na sera zake mpya za the past 3 decades tu? Kasome Great Wall ilijengwa lini ndio utajua China sio watu wa juzi? Hapo ndipo utajua fibric za society ambazo zinaleta maendeleo sio kitu kinaletwa kwa kujenga majengo na barabara. It has to start with the thinking na hiyo 'fabric ya society'.
Sasa nyie mna-compare level ya siasi ya marekani ya leo na ya Tz?
Okay, unataka kuongelea policies, sawa...tuongelee hilo. Tax policy iwaje? Education policy iwaje?
By the way, unapoweka argument, sio unaniambia mimi nikatafute information za ku-prove argument yako. weka evidence mwenyewe tusome wote. This discussion is not just for my benefit, but for others too. Kwa hiyo naomba uweke hiyo mifano inayoonyesha specifically sera ya chama fulani ilisaidia nchi kuendelea badala ya sera ya chama kingine. Nasubiri hiyo evidence kwa hamu kweli! I guess industrial revolution ilichangiwa na political ideologies...hehhehe!!
This is great MM. If you do not mind Mzee please tell us what should be done to close the missing link? I mean what should CHADEMA do to strenghten the weak base?
Majibu ya hoja zako yangesadia sana katika mjadala. Ninaogopa sijui kama upo tayari kwa majadiliano ukizingatia kwa makusudi kabisa umeamua kuwekea watu maneno midomoni pengine kupotosha tu. Hoja zako unapoziandika kwa jazba na kejeli zinatukwaza wengine kwasababu si sehemu ya utamaduni wa majadiliano tuliouzoea.
Nadhani unanifanya niende mbele zaidi...
......duuhh.......aisee........it is very expensive kukwepa mambo ya msingi na ya ukweli.........
Mwanakijiji hebu nijibu post yangu hapo juu!Kwanini Chadema Taifa wamechukua msimamo wa kutotambua muafaka wa Arusha? Wakati muafaka unafanyika wao walikuwa wapi? Na kwanini uongozi wa Taifa uamue kinachofanyika katika ngazi hiyo ya mkoa pale- kama Chadema Arusha waliamua kufikia muafaka kwanini uongozi wa Taifa ujaribu kunullify?
.........try ignorance...
...that is exactly what you are doing.........duuh!