Toyo 150 vs Boxer bm 150

..ebu tupieni picha ya boxer feck na original huku plz tuweze kuzitambua
Boxer original ni zile ambazo tunaziona nyingi mtaani ila feki nimeiona jana dukani yaani ni yofauti kabisa na ile original. Niliyoiona ilikuwa na rangi fulani kama za kijani na nyeusi na imefanana na zile boxer za tairi za offroad wanatumia sana inchi za majangwa kama uarabuni.
 
Kwa uoga wako wa Gharama ni labda ununue kibataVuzi au baiskeli aina ya Chopa zote zina gia kazi kwako
 
ushauri mzuri sana huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…