HansMapunda
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 456
- 260
Boxer original ni zile ambazo tunaziona nyingi mtaani ila feki nimeiona jana dukani yaani ni yofauti kabisa na ile original. Niliyoiona ilikuwa na rangi fulani kama za kijani na nyeusi na imefanana na zile boxer za tairi za offroad wanatumia sana inchi za majangwa kama uarabuni...ebu tupieni picha ya boxer feck na original huku plz tuweze kuzitambua