Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, yaani wewe jamaa wewe, yaani wamvunja nguvu kabisa mwenzio!Ukiuza hiyo brevis 9m njoo nkuongeze 9m nyingine
Mkuu hutaki nimpe 9m jamaaDuh, yaani wewe jamaa wewe, yaani wamvunja nguvu kabisa mwenzio!
Tatizo ni hilo sharti uliloliweka na ukiangalia mtiririko wa wachangiaji wa awali ni dhahiri jamaa hawezi toboa.Mkuu hutaki nimpe 9m jamaa
Maana yake ajitafakari upya na bei yakeTatizo ni hilo sharti uliloliweka na ukiangalia mtiririko wa wachangiaji wa awali ni dhahiri jamaa hawezi toboa.
Millioni 4Duh....
Unaijua Bei ya mkononi ya Brevis?
Povu lanini ewe kinabo? Hiyo bei labda ukawauzie wasukuma, Brevis utamuuzia nani mjini kwa Mil 9.5 au ndo unajifunza udalali?[emoji2][emoji1][emoji1]Mnachonga sana watz muwe waelewa Mimi nauza bei elekezi kutoka kwa mwenye gari mtu ukiwa umeipenda unakata ofa inafikishwa kwa mwenyewe akielewa biashara inafanyika sio mnaongea tu kama matahira, halafu wote mnao comment hapa hakuna mteja hata mmoja, wateja wanaelewa nini cha kufanya lakini wapuuzi kazi kujadili kwenye uzi wa mtu muwe na akili makondoo nyie msiwe kama hamjatairiwa vibuyu nyie mwanaume alotairiwa kiume hawezi kujenge mjadala kwenye kazi ya mtu hizo issue zipo kwa wanawake tuu ndo anaweza toka kwake akashinde saluni kuongea umbea hata asuki wala nywele hajachana lakini yupo saloon. Mnapo jadili bei za magari ya mkononi anagalia na bei ya kuinunua yard ikoje sio kuhorora tu kama inzi wa chooni
Unazid kuharibu!Mnachonga sana watz muwe waelewa Mimi nauza bei elekezi kutoka kwa mwenye gari mtu ukiwa umeipenda unakata ofa inafikishwa kwa mwenyewe akielewa biashara inafanyika sio mnaongea tu kama matahira, halafu wote mnao comment hapa hakuna mteja hata mmoja, wateja wanaelewa nini cha kufanya lakini wapuuzi kazi kujadili kwenye uzi wa mtu muwe na akili makondoo nyie msiwe kama hamjatairiwa vibuyu nyie mwanaume alotairiwa kiume hawezi kujenge mjadala kwenye kazi ya mtu hizo issue zipo kwa wanawake tuu ndo anaweza toka kwake akashinde saluni kuongea umbea hata asuki wala nywele hajachana lakini yupo saloon. Mnapo jadili bei za magari ya mkononi anagalia na bei ya kuinunua yard ikoje sio kuhorora tu kama inzi wa chooni
Hiyo gari mkononi mil. 3.8 unapata tena plate number D.Nauza Toyota Brevis bado mpya kabisa
Gari anatumia mzungu yupo Arusha
Gari iko vizuri sana
Full ac
Full documents
Bei milion 9.5
Nipigie 0719909692
0763166893
Karibuni
View attachment 1519085View attachment 1519086View attachment 1519088View attachment 1519087View attachment 1519089View attachment 1519092View attachment 1519090View attachment 1519091View attachment 1519093
Ukweli huwa unauma, huwezi uza brevis mil 9 hata siku moja.Mnachonga sana watz muwe waelewa Mimi nauza bei elekezi kutoka kwa mwenye gari mtu ukiwa umeipenda unakata ofa inafikishwa kwa mwenyewe akielewa biashara inafanyika sio mnaongea tu kama matahira, halafu wote mnao comment hapa hakuna mteja hata mmoja, wateja wanaelewa nini cha kufanya lakini wapuuzi kazi kujadili kwenye uzi wa mtu muwe na akili makondoo nyie msiwe kama hamjatairiwa vibuyu nyie mwanaume alotairiwa kiume hawezi kujenge mjadala kwenye kazi ya mtu hizo issue zipo kwa wanawake tuu ndo anaweza toka kwake akashinde saluni kuongea umbea hata asuki wala nywele hajachana lakini yupo saloon. Mnapo jadili bei za magari ya mkononi anagalia na bei ya kuinunua yard ikoje sio kuhorora tu kama inzi wa chooni
naomba hii gari seriousNina Crown Athlet namba DTX naiuza ml.10,imeshushwa na meli bandarini tarehe 3 mwezi huu wa saba,sasa mkuu anauza Brevis 9,500,000!!!!duuuuuh
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app