Tatizo la Brevis ni kutumia 1JZ engine ya kizamani ndo maana mafuta yanaenda kizembe mara mia engine ya 4GR
Hakuna gari ya namna hiyo itakayotengenezwa kuzidi Mark 2 grande ndio maana mpaka namba A zipo zinasumbua
Hahahaha, bwana mdogo umenichekesha sana leo daah.Nasukuma ranger la shemeji
Na anayetumia jini lenye cc4500? V8 4.5L ajiiteje?Watu wanazikimbia toyota brevis kuwa zinakula mafuta na spare ni ghali sana, kumbe ukiona mtu anendesha brevis ujue huyo ni mwanaume haswaaa.
Acha ushamba mkuu hizo gari ni za kawaida kabisa, kuna watu wanamiliki v8 hapa mjini na maisha yanasonga.Watu wanazikimbia toyota brevis kuwa zinakula mafuta na spare ni ghali sana, kumbe ukiona mtu anendesha brevis ujue huyo ni mwanaume haswaaa.
Wavulana!!Hao ndiyo wanaume waliobaki mjini, sasa mwenye Ist.spacio na vitz wanaitwaje
Suala ni kwamba Japan hawaruhusu kutengeneza magari yenye speed zaidi ya 180/km. Siyo kuwa hawawezi bali kuna kikwazo cha sheria. Kwa ujeruman sheria hiyo haipo, hivyo hata volkswagen inakimbia kuliko toyota V8!Manina Aristo ukute ni 2jz-gte afu mods za kufa mtu kile ni chuma balaa,kule Kisongo kuna mwana alikuja na Aristo alikua anaijambisha balaa jamaa wa Subaru na Mitshubishi wana mchekiiiiiiii.
Mtu akisema wajapan hamna kitu kwny magari hua sometimes nashangaa sana aisee.
Mtu akijificha nyuma ya keeboard anaweza kuandika chochote hata kama hana hata bajaji lakini atadharau IST!!!!Inauma sana Kwakweli,
Kuona Mwanaume Mzima,
Bila Haya kabisa mbele za Wanaume wenzie
Anaamua kabisa kujitoa Ufahamu na kujidhalilisha hadharani kua anamiliki kigari yenye thamani ya shilingi 10mil.
So Sad[emoji24] [emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Too bad ile Aristo imemzika Oldonyo Sambu juzi juzi hapa, Aristo ya rangi ya jeshi!Manina Aristo ukute ni 2jz-gte afu mods za kufa mtu kile ni chuma balaa,kule Kisongo kuna mwana alikuja na Aristo alikua anaijambisha balaa jamaa wa Subaru na Mitshubishi wana mchekiiiiiiii.
Mtu akisema wajapan hamna kitu kwny magari hua sometimes nashangaa sana aisee.
Avalon kwani ishashuka bongo ile mashine? Watu wakiijua watapagawaToyota Avalon Ndio mpango mzima
Wewe unamiliki Dreamliner ?Hatari sanaHhhhh yani maisha kitu cha ajabu sana mtu unamiliki ka brevis unapiga kelele kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
Brevis ni gari ya safari ndefu ina heshima yake njianiDuu, haha, toka 2015 hadi leo nakomaa na Brevis, hata mseme nini, Brevis forever ππ