Toyota Brevis Itabaki na Wanaume tu

Toyota Brevis Itabaki na Wanaume tu

Tatizo la Brevis ni kutumia 1JZ engine ya kizamani ndo maana mafuta yanaenda kizembe mara mia engine ya 4GR

sasa unataka itumie engine mpya wakati gari ya zamani ..ni Sawa na kusema tatizo la Prado j120 ni kutumia 1kz kwamba bora 1gd ftv na wakati j120 inatengenezwa hiyo 1gd ftv haikuepo..
 
gari halipimwi kwa gharama za kununulia Bali garama za uendeshaji ndo unaona hii sio saizi yako ..mfano ist second generation nighali kuliko brevis ila gharama za kuzunguka na brevis zinaonekana au tuseme hata rav4 za 2002 huko still ukiagiza ni 18 bado ni bei kuliko brevis ila brevis kuendesha kila siku kipato lazima kiwe si cha kuunga unga... unaweza nunua Prado lako 70m+ ila gharama za uendeshaji kwa brevis zikazidi
 
mnisaide namna ya kupata garage ya kumuanzisha kijana na gharama wanazolipa ila ni kwa dar es salaam tu
 
Wabongo acheni kuishi kwa Stories na Imani za Ajabuajabu! Brevis ni gari ya kawaida sana. Yaani mna ujasiri wa kuagiza gari toka Japan ila mnaogopa kuagiza Spare Parts! Very Funny!
 
Watu wanazikimbia toyota brevis kuwa zinakula mafuta na spare ni ghali sana, kumbe ukiona mtu anendesha brevis ujue huyo ni mwanaume haswaaa.
Acha ushamba mkuu hizo gari ni za kawaida kabisa, kuna watu wanamiliki v8 hapa mjini na maisha yanasonga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manina Aristo ukute ni 2jz-gte afu mods za kufa mtu kile ni chuma balaa,kule Kisongo kuna mwana alikuja na Aristo alikua anaijambisha balaa jamaa wa Subaru na Mitshubishi wana mchekiiiiiiii.

Mtu akisema wajapan hamna kitu kwny magari hua sometimes nashangaa sana aisee.
Suala ni kwamba Japan hawaruhusu kutengeneza magari yenye speed zaidi ya 180/km. Siyo kuwa hawawezi bali kuna kikwazo cha sheria. Kwa ujeruman sheria hiyo haipo, hivyo hata volkswagen inakimbia kuliko toyota V8!
 
Inauma sana Kwakweli,

Kuona Mwanaume Mzima,
Bila Haya kabisa mbele za Wanaume wenzie

Anaamua kabisa kujitoa Ufahamu na kujidhalilisha hadharani kua anamiliki kigari yenye thamani ya shilingi 10mil.

So Sad[emoji24] [emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu akijificha nyuma ya keeboard anaweza kuandika chochote hata kama hana hata bajaji lakini atadharau IST!!!!
 
Manina Aristo ukute ni 2jz-gte afu mods za kufa mtu kile ni chuma balaa,kule Kisongo kuna mwana alikuja na Aristo alikua anaijambisha balaa jamaa wa Subaru na Mitshubishi wana mchekiiiiiiii.

Mtu akisema wajapan hamna kitu kwny magari hua sometimes nashangaa sana aisee.
Too bad ile Aristo imemzika Oldonyo Sambu juzi juzi hapa, Aristo ya rangi ya jeshi!
 
Back
Top Bottom