Mzee najua unamiliki brevis ndo maana unaitetea sana humuView attachment 953614
Mnyama wa msimbazi
Ya ni kweli ila hazipishani sana na za mjerumani,zamani tulikuwa tunatumia sana gari za mjerumani ,sijui nini kilitokea mpaka hao jamaa wakatutekaNa bei ya gari za Japan ni competitive (rahisi) hizi saloon.
Rudini ili muongeze heshima barabarani. Ukweli ni kuwa barabarani nina comfo!!!!Ya ni kweli ila hazipishani sana na za mjerumani,zamani tulikuwa tunatumia sana gari za mjerumani ,sijui nini kilitokea mpaka hao jamaa wakatuteka
Hii gari ina mapumbu.Naomba kuwasilisha....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] View attachment 952713
Hapana mkuu, ebu itazame vizuriHii gari ina mapumbu.
Mtu akiishi ulaya akarudi akapigika akili yake kama akari wa KARwewe..Brevis ni takataka...hamna gari humo. Gari za ukweli zinazoeleweka na kuheshimika ni BENZ, BMW, AUDI nk achana na huo ushuzi. Tatizo kubwa la wabongo hawajui vitu vizuri, wanafuata mkumbo tu. Takataka kama Brevis sijui Noah voxy ulaya haziruhusiwi kabisa na hutaziona barabarani hata kwa dawa
wewe..Brevis ni takataka...hamna gari humo. Gari za ukweli zinazoeleweka na kuheshimika ni BENZ, BMW, AUDI nk achana na huo ushuzi. Tatizo kubwa la wabongo hawajui vitu vizuri, wanafuata mkumbo tu. Takataka kama Brevis sijui Noah voxy ulaya haziruhusiwi kabisa na hutaziona barabarani hata kwa dawaKumbe kumiliki brevis inabidi ujipange kuanzia spare mpaka Mafuta,halafu nimeambiwa watu wanaziogopa sana,wanaogopa nini,je kwanini wenye brevis wanapenda kuwasha fog light-taa za chini kwenye bumper,mnatuumiza wenye babe walkers in town
Mtu akiishi ulaya akarudi akapigika akili yake kama akari wa KAR
Umenichekesha mkuu wenye magari yana cc5000 wanatazama tu
Mkuu huenda unakariri au hata ulaya hujawahi kufika. Kwanza kabisa naunga mkono kuwa gari za Kigermany ni kali ila siyo kwei kama gari za toyota haziuzi ulaya na Marekaniwewe..Brevis ni takataka...hamna gari humo. Gari za ukweli zinazoeleweka na kuheshimika ni BENZ, BMW, AUDI nk achana na huo ushuzi. Tatizo kubwa la wabongo hawajui vitu vizuri, wanafuata mkumbo tu. Takataka kama Brevis sijui Noah voxy ulaya haziruhusiwi kabisa na hutaziona barabarani hata kwa dawa
Sijakuelewa
Unachosema ni sawa kabisa, Toyota inayouzwa Ulaya ni tofauti kabisa na Toyota inayouzwa Afrika.Ulaya hakuna Toyota Brevis, IST, , wala NoahMkuu huenda unakariri au hata ulaya hujawahi kufika. Kwanza kabisa naunga mkono kuwa gari za Kigermany ni kali ila siyo kwei kama gari za toyota haziuzi ulaya na Marekani
These are the 10 best-selling cars of 2017 -- so far
tazama hii list
Toyota inashikiria namba 3 America ikimiliki 15% ya mauzo ya magari yote
Wakati Nissan ina 9.7%.
Unaifahamu Toyota Prius? Ndo gari ambayo ni hybrid ambayo imeuza sana huko America kuliko hybrid yoyote ile.
Unachosema ni sawa kabisa, Toyota inayouzwa Ulaya ni tofauti kabisa na Toyota inayouzwa Afrika.Ulaya hakuna Toyota Brevis, IST, , wala Noah
Hizo Tax/cab zina roho ngumu sana.Na wenye Carina Ti waseme nini? ha. Gari ni Carina Ti buana
Gari ina sura mbaya ike,daaahMambo yote Nissan Juke
Na ukienda kwny discovery 3 za diesel 2.7 td5v6 utakuta be forward hakuna,wamejaza za petrol tupu(cc 4400 v8) hahahNa nyingi ni za diesel, na ndo aina nayozungumzia kuwa ulaji wake ni kawaida tu....SBT hawana zinazotumia diesel ila BEFOWARD yamejaa kibao!
Nasikia ukinunua kwa jamaa wa AUTOREC wanazi recondition kabla ya kuzileta Bongo ndio maana gari zao ni expensive mkuu.Nako huko Japan ukiona gari zuri especially these SUV halafu bei rahisi shtuka!...inakuwa na vitu vingi vibovu, ikitua tu bongo cha kwanza unatua kwenye mziki wa kununua engine or kupiga pasi!...otonetor, bearing, etc
Nenda kai-tune boss,though utafuta kisahani na itasoma speed 180 lkn ikipigwa speed gun utashangaa inasoma hata zaidi ya 240 ikiwa-tuned properly lkn.Issue is, sijawahi ona zaidi ya 180km/hr kwenye hizi saloon za Toyota, wametubania tu