Toyota Brevis na heshima zake

Toyota Brevis na heshima zake

Brevis Tanzania zinaogopwa na kupewa Kasumba kuwa zinatumia Mafuta mengi wakati Siyo kweli,Brevis cc 3000lts powerful machine,mlimani na kwenye Mataa lazima uisome cc zake
 
Na bei ya gari za Japan ni competitive (rahisi) hizi saloon.
Ya ni kweli ila hazipishani sana na za mjerumani,zamani tulikuwa tunatumia sana gari za mjerumani ,sijui nini kilitokea mpaka hao jamaa wakatuteka
 
Ya ni kweli ila hazipishani sana na za mjerumani,zamani tulikuwa tunatumia sana gari za mjerumani ,sijui nini kilitokea mpaka hao jamaa wakatuteka
Rudini ili muongeze heshima barabarani. Ukweli ni kuwa barabarani nina comfo!!!!
 
Dah renault imezeeka mpaka imeota mshipa.Bila shaka ni ya pangani
 
wewe..Brevis ni takataka...hamna gari humo. Gari za ukweli zinazoeleweka na kuheshimika ni BENZ, BMW, AUDI nk achana na huo ushuzi. Tatizo kubwa la wabongo hawajui vitu vizuri, wanafuata mkumbo tu. Takataka kama Brevis sijui Noah voxy ulaya haziruhusiwi kabisa na hutaziona barabarani hata kwa dawa
Mtu akiishi ulaya akarudi akapigika akili yake kama akari wa KAR
 
Kumbe kumiliki brevis inabidi ujipange kuanzia spare mpaka Mafuta,halafu nimeambiwa watu wanaziogopa sana,wanaogopa nini,je kwanini wenye brevis wanapenda kuwasha fog light-taa za chini kwenye bumper,mnatuumiza wenye babe walkers in town
wewe..Brevis ni takataka...hamna gari humo. Gari za ukweli zinazoeleweka na kuheshimika ni BENZ, BMW, AUDI nk achana na huo ushuzi. Tatizo kubwa la wabongo hawajui vitu vizuri, wanafuata mkumbo tu. Takataka kama Brevis sijui Noah voxy ulaya haziruhusiwi kabisa na hutaziona barabarani hata kwa dawa
Mtu akiishi ulaya akarudi akapigika akili yake kama akari wa KAR

Sijakuelewa
 
wewe..Brevis ni takataka...hamna gari humo. Gari za ukweli zinazoeleweka na kuheshimika ni BENZ, BMW, AUDI nk achana na huo ushuzi. Tatizo kubwa la wabongo hawajui vitu vizuri, wanafuata mkumbo tu. Takataka kama Brevis sijui Noah voxy ulaya haziruhusiwi kabisa na hutaziona barabarani hata kwa dawa

Sijakuelewa
Mkuu huenda unakariri au hata ulaya hujawahi kufika. Kwanza kabisa naunga mkono kuwa gari za Kigermany ni kali ila siyo kwei kama gari za toyota haziuzi ulaya na Marekani
These are the 10 best-selling cars of 2017 -- so far
tazama hii list
Toyota inashikiria namba 3 America ikimiliki 15% ya mauzo ya magari yote
Wakati Nissan ina 9.7%.
Unaifahamu Toyota Prius? Ndo gari ambayo ni hybrid ambayo imeuza sana huko America kuliko hybrid yoyote ile.
 
Unachosema ni sawa kabisa, Toyota inayouzwa Ulaya ni tofauti kabisa na Toyota inayouzwa Afrika.Ulaya hakuna Toyota Brevis, IST, , wala Noah
 
Unachosema ni sawa kabisa, Toyota inayouzwa Ulaya ni tofauti kabisa na Toyota inayouzwa Afrika.Ulaya hakuna Toyota Brevis, IST, , wala Noah
1544393287461.png

Toyota Corolla sedan

Hebu niambie wapi umeona gari kama hii hapa bongo. Acha kuji-please na hako ka Toyota Noah kako, eti Toyota inashika namba 3 kwa mauzo Marekani. Toyota inayouzwa Marekani wewe huwezi kununua hata ikiwa used, wala huwezi kumudu gharama za uendeshaji. Assumption zako ni sawa na anayedai Tanzania na Misri ni sawa eti tu kwa sababau zote zipo Afrika, wakati Tanzania na Misri ni Mbingu na nchi
 
Na nyingi ni za diesel, na ndo aina nayozungumzia kuwa ulaji wake ni kawaida tu....SBT hawana zinazotumia diesel ila BEFOWARD yamejaa kibao!
Na ukienda kwny discovery 3 za diesel 2.7 td5v6 utakuta be forward hakuna,wamejaza za petrol tupu(cc 4400 v8) hahah
 
Nako huko Japan ukiona gari zuri especially these SUV halafu bei rahisi shtuka!...inakuwa na vitu vingi vibovu, ikitua tu bongo cha kwanza unatua kwenye mziki wa kununua engine or kupiga pasi!...otonetor, bearing, etc
Nasikia ukinunua kwa jamaa wa AUTOREC wanazi recondition kabla ya kuzileta Bongo ndio maana gari zao ni expensive mkuu.
 
Issue is, sijawahi ona zaidi ya 180km/hr kwenye hizi saloon za Toyota, wametubania tu
Nenda kai-tune boss,though utafuta kisahani na itasoma speed 180 lkn ikipigwa speed gun utashangaa inasoma hata zaidi ya 240 ikiwa-tuned properly lkn.
 
Back
Top Bottom