Toyota Brevis na heshima zake




Mkuu, kabla mtu hajaona radio ya jirani, huiona redio yake ni kubwa kuzidi zote duniani
 
Wi
Wivu tu
 
Sio sayansi mzee... Tafuta muda usome engines zake... Dimensions za cylinders zinatofautiana.

4 cylinders engine ina cylinders chache as compared to 6 cylinders engine ila volume ya 4 cylinders engine ni kubwa kidogo ukilinganisha na volume ya 6 cylinders engine... Hiyo ni moja wapo ya sababu.

Pitia wikipedia mkuu, wameelezea kila kitu.
Science ya wapi hii?
Labda iwe 6 mpya na 4 iliyochoka. Vinginevyo, all things being equal, 6 inakula zaidi.
 
Ukiwa na hii andika wosia mapema kabisa
Hiyo kitu LC200 ,mkuu inabidi uiheshimu ili ikuheshimu.
Ina exolosive acceleration na baada ya 150km/hr mbishi yeyote anaachia njia maana valve za ziada zinafunguka.
Hapo kupiga 200-220km/hr bila shida.

Kwa wanaoufahamu mchezo, huna haja ya kuandika wosia ,huo mchezo una barabara zake.
 
Ahsante mkuu kwa kumfafanulia vizuri ndugu yangu Sibonike maana aliona kama nimekuruka vile
 
Noma sana!
 



200 - 250 km/h na njia zetu za matuta kila baada ya Km 5 ni mateso
 
Unazungumzia ulaya ipi kwa mfano?
 
Kama wapi Mkuu? Tolea mfano wa kipande cha lami zetu chenye urefu wa hata Km 20 bila kukutana na tuta
Piga Gairo-Kibaigwa na Mbele ya Kibaigwa.
Piga Manyoni -Singida, Iringa rd, Mbuyuni-hadi karibu na Comfort.
Lakini ole wako kitochi, watoto, mbuzi na ng'ombe, hao hata kwa honi hawaondoki barabarani!
 
Mzee mimi similiki Benz nimeunga mkono hoja tu kwa jamaa niliye mquote hicho ni kichekesho cha utani kwa wahaya. Halafu hata BMW sijui Benz au AUDI used zipo za bei chee kuanzia 15 na kuendelea sawa tu na used zetu za Toyota so no big deal
Ni kweli kabisa nilitaka agiza Audi 16m hadi bongo wananzengo wakaniasa kuhusu ndoa ya kikristo na spear nikarudi kwa Mjapan
 
Maana yangu kama zote engine zinalingana zinakula mafta sawa mafano altezza 6 cylinder ya cc 1986 na altezza 4 cylinder ya cc1986 zote zinakula sawa unless kama hiyo 6 cylinder ina cc 2986 au 3000
Sasa kama zinakula sawa y ununue ya 4 cylinder?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…