Kim Il Kwon
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,219
- 1,035
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weka na kapicha mkuu, wengine tunamiliki 'bike' tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weka na kapicha mkuu, wengine tunamiliki 'bike' tu.
Weka na kapicha mkuu, wengine tunamiliki 'bike' tu.
Yaani bila aibu unakuja kusifia toyota brevis? Uwe serious.unaona ni heshima kuwa na toyota brevis? Sasa na wenye magari nao waje waseme nini? Muwe serious...siyo mkinunua tu gari mnakuja kutupamba humu.na wenye magari wamenyamaza.
Unasifia toyota brevis na wamiliki wa BMW wamo, na wamiliki wa BENZ wamo humu, na wamiliki wa Range, Audi, Bentley, Escarade wamo wamenyamaza.
Wivu tuUnajua kuna kitu wewe huelewi, kuna magari yana mshawasha wa aina yake. Labda nikupe mfano; Justin bieber ni msanii mkubwa sana zaidi ya Diamond platnumz, lakini kwa hapa bongo mtaje Justim halafu mtaje Dai, mshtuko utakuwa mkubwa kwa Dai, ila justin kwa huko kimataifa ndio atatamba sio hapa, sasa hayo ma BMW na Benz ni huko, hapa hazina mashiko.., tumeelewana wa mzee?
Science ya wapi hii?
Labda iwe 6 mpya na 4 iliyochoka. Vinginevyo, all things being equal, 6 inakula zaidi.
Aisee upate rangi nyeupe,vioo tinted,hatari mnoooNa wenye discover wasemeje ivyo vigar vyenu vinalingana bei na simu za mkonin!!!kelele kibao
Nilikua na Camry ya Uingereza, speed 240 mzee na ni heshima kuanzia interior hadi nje.Issue is, sijawahi ona zaidi ya 180km/hr kwenye hizi saloon za Toyota, wametubania tu
Hiyo kitu LC200 ,mkuu inabidi uiheshimu ili ikuheshimu.Ukiwa na hii andika wosia mapema kabisa
Ahsante mkuu kwa kumfafanulia vizuri ndugu yangu Sibonike maana aliona kama nimekuruka vileSio sayansi mzee... Tafuta muda usome engines zake... Dimensions za cylinders zinatofautiana.
4 cylinders engine ina cylinders chache as compared to 6 cylinders engine ila volume ya 4 cylinders engine ni kubwa kidogo ukilinganisha na volume ya 6 cylinders engine... Hiyo ni moja wapo ya sababu.
Pitia wikipedia mkuu, wameelezea kila kitu.
Noma sana!Yaani bila aibu unakuja kusifia toyota brevis? Uwe serious.unaona ni heshima kuwa na toyota brevis? Sasa na wenye magari nao waje waseme nini? Muwe serious...siyo mkinunua tu gari mnakuja kutupamba humu.na wenye magari wamenyamaza.
Unasifia toyota brevis na wamiliki wa BMW wamo, na wamiliki wa BENZ wamo humu, na wamiliki wa Range, Audi, Bentley, Escarade wamo wamenyamaza.
Hiyo kitu LC200 ,mkuu inabidi uiheshimu ili ikuheshimu.
Ina exolosive acceleration na baada ya 150km/hr mbishi yeyote anaachia njia maana valve za ziada zinafunguka.
Hapo kupiga 200-220km/hr bila shida.
Kwa wansonufahsmu mchezo. huna haja ya kuandika wosia ,huo mchezo una barabara zake.
Zipo sehemu chache mkuu200 - 250 km/h na njia zetu za matuta kila baada ya Km 5 ni mateso
Zipo sehemu chache mkuu
Unazungumzia ulaya ipi kwa mfano?wewe..Brevis ni takataka...hamna gari humo. Gari za ukweli zinazoeleweka na kuheshimika ni BENZ, BMW, AUDI nk achana na huo ushuzi. Tatizo kubwa la wabongo hawajui vitu vizuri, wanafuata mkumbo tu. Takataka kama Brevis sijui Noah voxy ulaya haziruhusiwi kabisa na hutaziona barabarani hata kwa dawa
Piga Gairo-Kibaigwa na Mbele ya Kibaigwa.Kama wapi Mkuu? Tolea mfano wa kipande cha lami zetu chenye urefu wa hata Km 20 bila kukutana na tuta
Ni kweli kabisa nilitaka agiza Audi 16m hadi bongo wananzengo wakaniasa kuhusu ndoa ya kikristo na spear nikarudi kwa MjapanMzee mimi similiki Benz nimeunga mkono hoja tu kwa jamaa niliye mquote hicho ni kichekesho cha utani kwa wahaya. Halafu hata BMW sijui Benz au AUDI used zipo za bei chee kuanzia 15 na kuendelea sawa tu na used zetu za Toyota so no big deal
Daah bei nzuri ila likifika bongo bei ina doubleView attachment 952715
Angalia hilo wese la Tuarage kaka
Alteza Bomba mbili jini Tena subianihahahhaaaaaaaa......
hv brevis ulaji wake wa mafuta sawa na jini alteza!!!!
Sasa kama zinakula sawa y ununue ya 4 cylinder?Maana yangu kama zote engine zinalingana zinakula mafta sawa mafano altezza 6 cylinder ya cc 1986 na altezza 4 cylinder ya cc1986 zote zinakula sawa unless kama hiyo 6 cylinder ina cc 2986 au 3000