Toyota Brevis na heshima zake

Vipi gharama zake za uendeshaji ukilinganisha na Prado, maana nahisi Prado ya cc. 2400 kama ina ka unafuu kidogo kwenye uendeshaji labda na bei
Prado ni 2700cc,,,Lexus ziko nyingi mkuu mpaka za cc2500...Swala la kuchagua ipi tu itakuvutia.
LS...ES...GS...LX... zote ni trim za Lexus hizo ambapo kubwa kabisa ni ile LX570 na LFA ambayo ni V10
 
Tafadhali niambie machache kama una uzoefu/kuifahamu Honda Step wagon
Prado ni 2700cc,,,Lexus ziko nyingi mkuu mpaka za cc2500...Swala la kuchagua ipi tu itakuvutia.
LS...ES...GS...LX... zote ni trim za Lexus hizo ambapo kubwa kabisa ni ile LX570 na LFA ambayo ni V10
 
ntazifatilia sasa mkuu
Mkuu nataka nishuke kwenye subaru niingie mazima kwenye tezza,maana subaru ishaanza kwenda alijojo trip shamba trip garage,unanisharije mkuu?,maana kama nashuka chini nisije jikuta kwenye passo bure 😃
 
Hapo ulipima power au top speed?
 
Ukisha anza tu neno Toyota hapohapo nakushusha thamani yako.

Naheshimu sana European cars
 
Ukisha anza tu neno Toyota hapohapo nakushusha thamani yako.

Naheshimu sana European cars
Mkuu wewe ndio hujui thamani ya mjapani.
Nunua Mjapani Toyota V6, V8 au hata Crown, Brevis au Subaru Forester.
Hizo gari zikikuacha barabarani basi uzembe wako.
Nunua European Range Rover au hata Mercedes, ukifanya uzembe inaungua kabisa.
Wiki mbili pale Mikocheni Range
mpya imezimwa moto kwa msaada wa majirani.
Range Rover hapa mjini zinaongoza kuungua, na ukikaa nayo mwaka una bahati.
 
kwa hiyo DUALIS NA RANGE NI NDUGU??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…