Toyota Brevis na heshima zake

Toyota Brevis na heshima zake

Vipi gharama zake za uendeshaji ukilinganisha na Prado, maana nahisi Prado ya cc. 2400 kama ina ka unafuu kidogo kwenye uendeshaji labda na bei
Prado ni 2700cc,,,Lexus ziko nyingi mkuu mpaka za cc2500...Swala la kuchagua ipi tu itakuvutia.
LS...ES...GS...LX... zote ni trim za Lexus hizo ambapo kubwa kabisa ni ile LX570 na LFA ambayo ni V10
 
Tafadhali niambie machache kama una uzoefu/kuifahamu Honda Step wagon
Prado ni 2700cc,,,Lexus ziko nyingi mkuu mpaka za cc2500...Swala la kuchagua ipi tu itakuvutia.
LS...ES...GS...LX... zote ni trim za Lexus hizo ambapo kubwa kabisa ni ile LX570 na LFA ambayo ni V10
Screenshot_2019-08-15-15-37-57.jpeg
 
ntazifatilia sasa mkuu
Mkuu nataka nishuke kwenye subaru niingie mazima kwenye tezza,maana subaru ishaanza kwenda alijojo trip shamba trip garage,unanisharije mkuu?,maana kama nashuka chini nisije jikuta kwenye passo bure 😃
 
Mkuu sina hicho kitu ila nilikipata mahsli ili niende nacho mkoani.
Ni balaa!
Jamaa hapa wanaihusudu Brevis, lakini hiyo ni no contest mbele ya hii mi V8.

Kwa mchezo tu, mbele yangu niliona Brevis, at 140 ~150km/hr.
Akiona nakuja Brevis akaongeza mwendo hadi 160kmhr.
Nikampa 180km/hr naye akaongeza tukawa sambamba.
Hizo ni spidi kali, lakini mbuga inaruhusu.
Unaona mbelebhadi kilometa mbili, hakuna gari mbele.

Hapo ikabidi nionyeshe heshima ya ya V8.
Acceleration hadi 200~210km/hr ikatosha kumuacha Brevis.
TAHADHARI: huu mchezo ni hatari sana
Hapo ulipima power au top speed?
 
Kumbe kumiliki Brevis inabidi ujipange kuanzia spare mpaka Mafuta. Halafu nimeambiwa watu wanaziogopa sana, wanaogopa nini?

View attachment 1154015

Je, kwanini wenye Brevis wanapenda kuwasha fog light-taa za chini kwenye bumper? Mnatuumiza wenye baby walkers in town!
Ukisha anza tu neno Toyota hapohapo nakushusha thamani yako.

Naheshimu sana European cars
 
Ukisha anza tu neno Toyota hapohapo nakushusha thamani yako.

Naheshimu sana European cars
Mkuu wewe ndio hujui thamani ya mjapani.
Nunua Mjapani Toyota V6, V8 au hata Crown, Brevis au Subaru Forester.
Hizo gari zikikuacha barabarani basi uzembe wako.
Nunua European Range Rover au hata Mercedes, ukifanya uzembe inaungua kabisa.
Wiki mbili pale Mikocheni Range
mpya imezimwa moto kwa msaada wa majirani.
Range Rover hapa mjini zinaongoza kuungua, na ukikaa nayo mwaka una bahati.
 
kwa hiyo DUALIS NA RANGE NI NDUGU??
 
Back
Top Bottom