Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mkuu ukitaka over 180km/r kwa saloon inabidi ununue gari ya Europe.Issue is, sijawahi ona zaidi ya 180km/hr kwenye hizi saloon za Toyota, wametubania tu
Mkuu King Kong III umetisha,
Unazijua VW Touareg au unasema tu? Ngoja nikuorodheshee engines zake
1. 5-cylinder 2.5TDi
2.6-cylinder 3.0TDi
3.6-cylinder 3.2Petrol
4.6-cylibder 3.6Petrol
5.8-cylinder 4.2Petrol
6.10-cylinder 5.0Tdi
Tuarage ni v8 bos inakula wese kama jini labda ubahatishe ya diesel
Haya magari siyajui vizuri zaidi ya kuyaona tu, ila aliposema ni V8 nikajua kuwa kula amfuta kawaida yake maana uwa nasoma uchambuzi wa magari V8 naona zinatafuna sana.Unazijua VW Touareg au unasema tu? Ngoja nikuorodheshee engines zake
1. 5-cylinder 2.5TDi
2.6-cylinder 3.0TDi
3.6-cylinder 3.2Petrol
4.6-cylibder 3.6Petrol
5.8-cylinder 4.2Petrol
6.10-cylinder 5.0Tdi
Btevis ni zaidi ya alteza hasa upate 3.0hahahhaaaaaaaa......
hv brevis ulaji wake wa mafuta sawa na jini alteza!!!!
Lile gari lako lipo wapi??Sisi ambao hatuna mikebe tuna komenti wapi...[emoji30][emoji30][emoji30]
Naomba kuwasilisha....[emoji23] [emoji23] [emoji23]Lile gari lako lipo wapi??
Mkuu ukitaka over 180km/r kwa saloon inabidi ununue gari ya Europe.
Hata V8 za Japan , ordinary local market ni 180kmhr
gari ina mambupu yana ning'iniaNaomba kuwasilisha....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] View attachment 952713
Alteza ikiwa 6 cylinder inakuwa na cc2400 na ikiwa fou cylinder inakuwa na cc 1980Hapana hata siyo sababu inakuwa 6 cylinder cc ni zile zile na upana wa cylinder za 6 ni ndogo sana compared na za 4
Haya magari siyajui vizuri zaidi ya kuyaona tu, ila aliposema ni V8 nikajua kuwa kula amfuta kawaida yake maana uwa nasoma uchambuzi wa magari V8 naona zinatafuna sana.
Siyo kweli maana nimemiliki zote mbili kwa wakati tofauti altezza gita 6 cylinder ilikuwa na cc1980 na altezza rx 4 cylinder nayo cc 1980Alteza ikiwa 6 cylinder inakuwa na cc2400 na ikiwa fou cylinder inakuwa na cc 1980
View attachment 952715
Angalia hilo wese la Tuarage kaka
Linaitwaje hilo??Ni lile ulilomuhonga Mwajuma nchokonoe wa gomsNaomba kuwasilisha....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] View attachment 952713
Tuarage ni v8 bos inakula wese kama jini labda ubahatishe ya diesel
Mkuu nimefanya search kidogo kumbe zipo zenye hadi cc3000 lakini mimi nilikuwa na 6 yenye cc 1986 so sote tuko sawaAlteza ikiwa 6 cylinder inakuwa na cc2400 na ikiwa fou cylinder inakuwa na cc 1980
Sio kweli chief....[emoji53][emoji53]gari ina mambupu yana ning'inia
Unafahamu kwamba kununua gari ni unanunua pamoja na barabara utakayotumia, umeme wa taa za barabarani, traffic police atakaekuongoza nk.?Duh noma sana mkuu hilo wese balaaa, mkuu hizi kodi noma sana maana naona bei ya gari kule bei chee sana kuna mtu aliwahi kuona gari mtandaoni inauzwa $900 kanunua bila kujua mpaka anaitia mkononi itafika kwenye milion 8 huko
Itakuwa Uturuki au nchi za Western Europe hapoSio kweli chief....[emoji53][emoji53]