Toyota Brevis na heshima zake

Toyota Brevis na heshima zake

Unazijua VW Touareg au unasema tu? Ngoja nikuorodheshee engines zake
1. 5-cylinder 2.5TDi
2.6-cylinder 3.0TDi
3.6-cylinder 3.2Petrol
4.6-cylibder 3.6Petrol
5.8-cylinder 4.2Petrol
6.10-cylinder 5.0Tdi
Haya magari siyajui vizuri zaidi ya kuyaona tu, ila aliposema ni V8 nikajua kuwa kula amfuta kawaida yake maana uwa nasoma uchambuzi wa magari V8 naona zinatafuna sana.
 
Lile gari lako lipo wapi??
Naomba kuwasilisha....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
tapatalk_1521144929388.jpeg
 
Haya magari siyajui vizuri zaidi ya kuyaona tu, ila aliposema ni V8 nikajua kuwa kula amfuta kawaida yake maana uwa nasoma uchambuzi wa magari V8 naona zinatafuna sana.

IMG_5240.JPG

Angalia hilo wese la Tuarage kaka
 
Duh noma sana mkuu hilo wese balaaa, mkuu hizi kodi noma sana maana naona bei ya gari kule bei chee sana kuna mtu aliwahi kuona gari mtandaoni inauzwa $900 kanunua bila kujua mpaka anaitia mkononi itafika kwenye milion 8 huko
Unafahamu kwamba kununua gari ni unanunua pamoja na barabara utakayotumia, umeme wa taa za barabarani, traffic police atakaekuongoza nk.?
 
Back
Top Bottom