Toyota Brevis na heshima zake

Maana yangu kama zote engine zinalingana zinakula mafta sawa mafano altezza 6 cylinder ya cc 1986 na altezza 4 cylinder ya cc1986 zote zinakula sawa unless kama hiyo 6 cylinder ina cc 2986 au 3000
Nimekupata mkuu
 
Taratibu chief sio kila mtu anaagiza Japan aisee watu wanaagiza Singapore na Uk na gar zinafika nazo useme ni production ya Mjapan??
Ukiagiza Singapore ni Yaleyale, msijitape mkuu. Gari ya mjerumani original gharama yake si kitoto, Singapore mna store hata baadhi ya product za China ukiagiza zinatokea pale.

Brand ni ya mjerumani ila mtengenezaji si yeye, narudia tena gharama ya gari original za kijerumani si mchezo.

Tena sasa hivi kuna Mjerumani anamiliki kampuni ya magari ya kifahari ya Uingereza, jiandaeni kampuni za kijapan zinapewa licence ya kuunda product zao.
 
Taratibu chief sio kila mtu anaagiza Japan aisee watu wanaagiza Singapore na Uk na gar zinafika nazo useme ni production ya Mjapan??
ζ—₯本




[emoji121][emoji121][emoji121][emoji121][emoji121][emoji121]
Ona site hiyo hapo translate kwa kingereza usome, inajieleza wazi Rolls Royce wenyewe injini zao na baadhi ya vifaa vinaundwa Japan.

Kiongozi hizi gari zenye brand ya mjerumani za mil mpaka 50 zinaundwa Japan na kusambazwa tu. Original ya mjerumani hupati bei hiyo
 
Kumbe kumiliki brevis inabidi ujipange kuanzia spare mpaka Mafuta,halafu nimeambiwa watu wanaziogopa sana,wanaogopa nini,je kwanini wenye brevis wanapenda kuwasha fog light-taa za chini kwenye bumper,mnatuumiza wenye babe walkers in town
NI UNATAKA KUNUNUA SIYO KUONGEA POSITIVE HAPA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…