Toyota Brevis na heshima zake

Kwahiyo unataka kusema iphone inayotumika china ni tofauti ya US?
 
Brevis sio poa, ilichotufanyia kweny harusi ya ndugu yangu dah. Gar ilichukuliwa temeke tukaiwekea mafuta ya bukuten, ikafika tandika kumchukua baba harusi kuelekea safar ya kitunda. Ile tunafika buza ikawekewa mafuta mengne ya bukuten, tukafika kitunda tukaoa then tukageuza, ile bwana na bibi harus wanashuka tu, tunaambiwa haiwezi kutoka mafuta yamekata... Kila mtu anashangaa yameishaje...
 
Upumbavu mtupu, gari luxurious hivyo unainusisha mafuta kama ugoro maana yake nini? Mwisho pump ziingie uchafu bure, weka mafuta ya 30k fanya yako kwa starehe.., si kunusishana petrol kama teja, tumeelewana mzee.., muwe na adabu suku nyingine.
 
Upumbavu mtupu, gari luxurious hivyo unainusisha mafuta kama ugoro maana yake nini? Mwisho pump ziingie uchafu bure, weka mafuta ya 30k fanya yako kwa starehe.., si kunusishana petrol kama teja, tumeelewana mzee.., muwe na adabu suku nyingine.

Maneno ya ukweli sana,Brevis luxurious haitaki kunywa kwa kibaba
 
Hivyo unavyoita vyepesi ukifika speed 180km/hr kitapeperushwa kama kapelo inavyopeperushwa toka kichwani. Gari nzito ina maana yake, nayo ni 'STABILITY', hata uwe speed 240km/hr (kama ingekuwepo) mashine inanata na lami kama uko 50km/hr, very steady!
Ni mashine ipi hiyo
 
Kuna kitu watu hawajakijua gari hizo gari unazozizungumzia ni bei chee kuliko toyota
 
Brevis gari ya kishamba sana,mwendo haina kazi kuunguruma tu na kula wese maneno ni Crown majesta
Naam mkuu Crown Majesta ina 4300 CC ya kuanzia 2009 ni kali sana inaamsha kama Land Cruiser V8 shida gari za Japan wanabania speed ni 180 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…