Toyota Brevis na heshima zake

Toyota Brevis na heshima zake

Ukiagiza Singapore ni Yaleyale, msijitape mkuu. Gari ya mjerumani original gharama yake si kitoto, Singapore mna store hata baadhi ya product za China ukiagiza zinatokea pale.

Brand ni ya mjerumani ila mtengenezaji si yeye, narudia tena gharama ya gari original za kijerumani si mchezo.

Tena sasa hivi kuna Mjerumani anamiliki kampuni ya magari ya kifahari ya Uingereza, jiandaeni kampuni za kijapan zinapewa licence ya kuunda product zao.
Kwahiyo unataka kusema iphone inayotumika china ni tofauti ya US?
 
Brevis sio poa, ilichotufanyia kweny harusi ya ndugu yangu dah. Gar ilichukuliwa temeke tukaiwekea mafuta ya bukuten, ikafika tandika kumchukua baba harusi kuelekea safar ya kitunda. Ile tunafika buza ikawekewa mafuta mengne ya bukuten, tukafika kitunda tukaoa then tukageuza, ile bwana na bibi harus wanashuka tu, tunaambiwa haiwezi kutoka mafuta yamekata... Kila mtu anashangaa yameishaje...
 
Upumbavu mtupu, gari luxurious hivyo unainusisha mafuta kama ugoro maana yake nini? Mwisho pump ziingie uchafu bure, weka mafuta ya 30k fanya yako kwa starehe.., si kunusishana petrol kama teja, tumeelewana mzee.., muwe na adabu suku nyingine.
 
Maneno ya ukweli sana,Brevis luxurious haitaki kunywa kwa kibaba
 
Samahani, sisi tunaomiliki BMW 5 series, tucomment wapi??
Mwenye nguvu mpishe mkuu....
FB_IMG_1527526390729.jpeg
 
Hivyo unavyoita vyepesi ukifika speed 180km/hr kitapeperushwa kama kapelo inavyopeperushwa toka kichwani. Gari nzito ina maana yake, nayo ni 'STABILITY', hata uwe speed 240km/hr (kama ingekuwepo) mashine inanata na lami kama uko 50km/hr, very steady!
Ni mashine ipi hiyo
 
Acha kujidanganya dogo nilikuwa Toyota na sasa niko BMW tofaut ni kubwa mpk kwa heshima
Siku hizi barabaran kila nayepishana nae lazima ageuke kunichek(especially wa toyota)

Halaf kweli ulaji wa mafuta mnaongelea brevis ya cc 2490 kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achen utan basi
Kuna kitu watu hawajakijua gari hizo gari unazozizungumzia ni bei chee kuliko toyota
 
Brevis gari ya kishamba sana,mwendo haina kazi kuunguruma tu na kula wese maneno ni Crown majesta
Naam mkuu Crown Majesta ina 4300 CC ya kuanzia 2009 ni kali sana inaamsha kama Land Cruiser V8 shida gari za Japan wanabania speed ni 180 tu
 
Back
Top Bottom