Toyota Brevis

Toyota Brevis

Kwanza unapozungumzia brevis zipo za aina mbili Ya kwanza ni yenye engine ya 2JZ ambayo ina 2990 cc (Ai300) na ya pili ni yenye engine ya 1JZ ambayo ina 2490 cc (Ai250) na unapozungumzia mark II unazungumzia mark II yenye engine ya 1G (1990 cc) na Mark II yenye engine ya 1JZ (2490 cc) yenye engine ya 1JZ ni sawa na ya brevis (Ai250 ambayo ni 2490 cc) mpaka hapo utaona tofauti ni bodi na muonekano na comfotability kati ya Brevis Ai250 na Mark II yenye 1JZ lakini kwa cresta pia Kuna Cresta yenye 1G engine kwahiyo hapo tofauti ni Bodi na muonekano tu...Mtazamo wangu mimi Nzuri ni Mark II yenye engine ya 1G (1990 cc) mtima nyongo
 
Mimi gari ndogo huwa sizipendi katika mambo mawili, kwanza zipo chini chini hata ukitaka kutanua (kupanda msingi) wakati wa foleni inakuwa shida au ukitaka kwenda kijijini kusalimia wazazi inakuwa shida, mbili halafu hazina heshima hata ukitaka kumuongopea mtu kuwa wewe ni usalama wa taifa mtu anakuona muongo alafu trafik hawakuogopi wanajua wewe ni muhindi mfanyabiashara unaenda kutanua bechi na hivyo lazima wakupige pesa, Lakini ukiwa ktk kitu Land Cruiser Amazon aaaaa! mbona unaweza kupaki hata restricted area.
Mkuu we utakua msukuma,wao ndo wanathamini magari makubwa tu sababu magari madogo kwao barabara mbovu so hayapiti. Mjini watu wanaangalia VALUE FOR MONEY basii. Hebu Park Land Cruiser Amazon mwenzako apaki bmw i8 hapa Mjini halafu uone gari ya Nani itashobokewa na wapita njia.
 
Halafu ww mwenyewe mhindi hahaha
 
Brevis ni moja ya gari nzuri sana kwa gari za chini ukiwa ndani unakuwa very comfortable Durability ya gari inategemea vitu vingi sana Kwanza Matunzo yaani Service, Barabara unazotumia, Uendeshaji na Uangalizi wake. Kwenye matumizi ya mafuta basi Brevis naweza sema kuwa inatumia vizuri kutokana na aina ya injini yake na ukubwa wake lakini Ukilinganisha matumizi ya Brevis ya Ai 2500 na Ai3000 matumizi yanatofautiana kutokana na ukubwa wa injini zake lakini pia Ukilinganisha na magari mengine Brevis ina kula mafuta japo sio kivile ila kama unaangalia ulaji wa mafuta nunua passo ila kama unahitaji comfotability hii inakuhusu...Ngoja wengine waje wenye ujuzi zaidi wamichosho
Lukaza upo vizuri mkuu!!!
 
hivi mwenye ist kwenda sehem na kurud mfano km 18 jumla mwendo wa mjini 30-40kph sh ngap inatosha kwa kila siku
 
Mimi gari ndogo huwa sizipendi katika mambo mawili, kwanza zipo chini chini hata ukitaka kutanua (kupanda msingi) wakati wa foleni inakuwa shida au ukitaka kwenda kijijini kusalimia wazazi inakuwa shida, mbili halafu hazina heshima hata ukitaka kumuongopea mtu kuwa wewe ni usalama wa taifa mtu anakuona muongo alafu trafik hawakuogopi wanajua wewe ni muhindi mfanyabiashara unaenda kutanua bechi na hivyo lazima wakupige pesa, Lakini ukiwa ktk kitu Land Cruiser Amazon aaaaa! mbona unaweza kupaki hata restricted area.
Tuko pamoja mkuu!!!
 
Mkuu we utakua msukuma,wao ndo wanathamini magari makubwa tu sababu magari madogo kwao barabara mbovu so hayapiti. Mjini watu wanaangalia VALUE FOR MONEY basii. Hebu Park Land Cruiser Amazon mwenzako apaki bmw i8 hapa Mjini halafu uone gari ya Nani itashobokewa na wapita njia.
Mimi sijui kuhusu hayo madubwasha ya muonekano, sababu mie huwa sifanyi kitu ili fulani na fulani wanione, katika gari napenda gari za hapa nazungumzia offroad sababu ya barabara zetu bongo.
 
WaTZ wengi waoga wa fuel consumption kama vile kuna gari isiyotumia mafuta...nina Nissan Fuga 2490cc nikiweka mafuta ya 50,000 tsh natembelea siku 10
 
Mkuu we utakua msukuma,wao ndo wanathamini magari makubwa tu sababu magari madogo kwao barabara mbovu so hayapiti. Mjini watu wanaangalia VALUE FOR MONEY basii. Hebu Park Land Cruiser Amazon mwenzako apaki bmw i8 hapa Mjini halafu uone gari ya Nani itashobokewa na wapita njia.
3E's sio.

yaaani:-

efficiency,
effective na
econony

ila na hiki kinapaswa kuongezwa mkuu:-

Peace of mind
 
Back
Top Bottom