LJ BLOG
Senior Member
- Jul 24, 2011
- 194
- 154
Kwanza unapozungumzia brevis zipo za aina mbili Ya kwanza ni yenye engine ya 2JZ ambayo ina 2990 cc (Ai300) na ya pili ni yenye engine ya 1JZ ambayo ina 2490 cc (Ai250) na unapozungumzia mark II unazungumzia mark II yenye engine ya 1G (1990 cc) na Mark II yenye engine ya 1JZ (2490 cc) yenye engine ya 1JZ ni sawa na ya brevis (Ai250 ambayo ni 2490 cc) mpaka hapo utaona tofauti ni bodi na muonekano na comfotability kati ya Brevis Ai250 na Mark II yenye 1JZ lakini kwa cresta pia Kuna Cresta yenye 1G engine kwahiyo hapo tofauti ni Bodi na muonekano tu...Mtazamo wangu mimi Nzuri ni Mark II yenye engine ya 1G (1990 cc) mtima nyongo