Toyota Brevis

Toyota Brevis

HAKUNAGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
72
Wakuu kwa mwenye uelewa, vipi kuhusu gari hii upande wa durability, fuel consumption and the like
 
Brevis ni moja ya gari nzuri sana kwa gari za chini ukiwa ndani unakuwa very comfortable Durability ya gari inategemea vitu vingi sana Kwanza Matunzo yaani Service, Barabara unazotumia, Uendeshaji na Uangalizi wake. Kwenye matumizi ya mafuta basi Brevis naweza sema kuwa inatumia vizuri kutokana na aina ya injini yake na ukubwa wake lakini Ukilinganisha matumizi ya Brevis ya Ai 2500 na Ai3000 matumizi yanatofautiana kutokana na ukubwa wa injini zake lakini pia Ukilinganisha na magari mengine Brevis ina kula mafuta japo sio kivile ila kama unaangalia ulaji wa mafuta nunua passo ila kama unahitaji comfotability hii inakuhusu...Ngoja wengine waje wenye ujuzi zaidi wamichosho
 
Shukran kwa ufafanuzi
 
Mwanaume wa kweli anaanza maisha na Brevis,madem wanapenda sana wanaume wenye Brevis ama Altez,Usijaribu kwenda kwa Dem na Passo ama IST,Unajiaibisha,labda kama ndo umemaliza form four tena unasubiri matokeo!Najua mmenisoma machalii!
 
Twende na uhalisia tusiweke dhana je gari ya cc 1300 na hii Brevis ya cc 2400 au ya 3000 ukiweka lita moja kwa kila moja, je kila moja itakwenda kilometa ngapi?
Fuel consumption inategemea mambo mengi, service ya gari muhimu saaana.
 
Ni wachache wanajua practical hii issue ya fuel consumption.
Hio ni kweli kabisa chief, niliomba ushauri humu jf khs hio Mazda rx 8 watu walivyoona ina cc 1300 wakanishauri kuinunua. Niliinunua lkn hapa katikati nilitafuta mhindi nikamuuzia asee inakula mafuta kuliko nilivyotegemea Ila ni sport car nzuri Sana. Ilikua inachezea 1litre=km 6 only. Brevis haiingii ndani hapo na cc zake zote ilizonazo
 
Mimi gari ndogo huwa sizipendi katika mambo mawili, kwanza zipo chini chini hata ukitaka kutanua (kupanda msingi) wakati wa foleni inakuwa shida au ukitaka kwenda kijijini kusalimia wazazi inakuwa shida, mbili halafu hazina heshima hata ukitaka kumuongopea mtu kuwa wewe ni usalama wa taifa mtu anakuona muongo alafu trafik hawakuogopi wanajua wewe ni muhindi mfanyabiashara unaenda kutanua bechi na hivyo lazima wakupige pesa, Lakini ukiwa ktk kitu Land Cruiser Amazon aaaaa! mbona unaweza kupaki hata restricted area.
 
Brevis ni moja ya gari nzuri sana kwa gari za chini ukiwa ndani unakuwa very comfortable Durability ya gari inategemea vitu vingi sana Kwanza Matunzo yaani Service, Barabara unazotumia, Uendeshaji na Uangalizi wake. Kwenye matumizi ya mafuta basi Brevis naweza sema kuwa inatumia vizuri kutokana na aina ya injini yake na ukubwa wake lakini Ukilinganisha matumizi ya Brevis ya Ai 2500 na Ai3000 matumizi yanatofautiana kutokana na ukubwa wa injini zake lakini pia Ukilinganisha na magari mengine Brevis ina kula mafuta japo sio kivile ila kama unaangalia ulaji wa mafuta nunua passo ila kama unahitaji comfotability hii inakuhusu...Ngoja wengine waje wenye ujuzi zaidi wamichosho
na kati ya brevs.cresta na grand mark11 hipi nzuri kwa eka eka za town?
 
Mwanaume wa kweli anaanza maisha na Brevis,madem wanapenda sana wanaume wenye Brevis ama Altez,Usijaribu kwenda kwa Dem na Passo ama IST,Unajiaibisha,labda kama ndo umemaliza form four tena unasubiri matokeo!Najua mmenisoma machalii!
You said!
 
Back
Top Bottom