mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
Namba A million NNE?Gari aina ya toyota carina inauzwa.....
specifications:
1. Ti carina 1998
2. CC: 1490, Engine 5A.
3. Haina AC ila mfumo wa ac upo vitu vingine vipo safi, gari haivumi imetulia barabarani.
4. Haina ubovu wowote inatembea;njoo na fundi wako ajiridhishe ukipenda
5. Insurance inaisha mwezi huu.
6. Haina udalali
7. Gari ipo Dar es salaam na ukitaka kuiona ipo shekilango.
8. Maongez yapo kidogo sana.
9. kwa alie serious check wasap au piga simu: 0713 059509
akizingatia comment yako basi atauza gari yakeHili gari namba AUJ limeingia nchini mwaka 2009,kipindi hicho kununua gari Japan mpaka ku clear bandarini haizidi milioni 6, miaka 9 baadae unataka uuze milioni 4?,Uza 1 na nusu au mbili na wengine waendeshe walitoe barabarani.Tufike mahali tuwe Kama wazungu. Anyway.. Nisikuvurugie mchongo wanunuzi wanakuja wasubiri.
Sababu tu ni Carina TI etiMbona baya sana halaf hela unayotaka sio kubwa ila tu haifanani na hiyo gari
baba yako analo?hata bure sichukui
weka lako tulione shenzy wwMbona baya sana halaf hela unayotaka sio kubwa ila tu haifanani na hiyo gari
so? gari yangu usinipangie matumizi...overHili gari namba AUJ limeingia nchini mwaka 2009,kipindi hicho kununua gari Japan mpaka ku clear bandarini haizidi milioni 6, miaka 9 baadae unataka uuze milioni 4?,Uza 1 na nusu au mbili na wengine waendeshe walitoe barabarani.Tufike mahali tuwe Kama wazungu. Anyway.. Nisikuvurugie mchongo wanunuzi wanakuja wasubiri.
Subiri mnunuzi atakuja tu usipanik, hata Yesu bado tunamsubiri arudi.so? gari yangu usinipangie matumizi...over
Subiri mnunuzi atakuja tu usipanik, hata Yesu bado tunamsubiri arudi.[/QUOTEhapa nafanya kuchagua tu naemtaka....nguvu ya online shoping sio ndogo
Umemaliza yote niliyotaka kusema.Hili gari namba AUJ limeingia nchini mwaka 2009,kipindi hicho kununua gari Japan mpaka ku clear bandarini haizidi milioni 6, miaka 9 baadae unataka uuze milioni 4?,Uza 1 na nusu au mbili na wengine waendeshe walitoe barabarani.Tufike mahali tuwe Kama wazungu. Anyway.. Nisikuvurugie mchongo wanunuzi wanakuja wasubiri.