Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inachelewaje? Kwamba unapiga jino mara ya kwanza haiwaki, ya pili haiwaki, inawaka ya 3? Kama ndio hivyo, unaweza kuwa unapata changamoto ya fuel pump kuchoka au starter kuchoka.Kwema wakuuu.
Gari yangu ni toyota corsa tatizo ni kuchelewa kuwaka asubuhi au ukiipaki kwa muda mrefu,nimefanya engine overhal, nmebadili plug, nmebadili, idle control valve lakini hakuna badiliko, msaada wenu plz?
Mwambie fundi umeme aangalie kama umeme unafika katika nozzle hapo ukiwasha gari. Kama haufiki au unasusasua jiandae kutafuta control box nyingine. Kama gari inapoteza nguvu likiwa limewaka hapo akague pump.Kwema wakuuu.
Gari yangu ni toyota corsa tatizo ni kuchelewa kuwaka asubuhi au ukiipaki kwa muda mrefu,nimefanya engine overhal, nmebadili plug, nmebadili, idle control valve lakini hakuna badiliko, msaada wenu plz?
Yaan unapiga jino mfululizo bila kuacha baada ya dakika ndoinawaka kwa speed ndogo then baada ya sekunde kadhaa ndipo inajipandisha kwenye speed ya kawaidaInachelewaje? Kwamba unapiga jino mara ya kwanza haiwaki, ya pili haiwaki, inawaka ya 3? Kama ndio hivyo, unaweza kuwa unapata changamoto ya fuel pump kuchoka au starter kuchoka.
Unayo hadi sasa hiyo gari?Yes, nilibadili fuel filter nã plag ikakaa sawa