Toyota Corsa 4E engine inachelewa kuwaka

sharpman

Member
Joined
Oct 24, 2019
Posts
9
Reaction score
4
Kwema wakuuu.
Gari yangu ni toyota corsa tatizo ni kuchelewa kuwaka asubuhi au ukiipaki kwa muda mrefu,nimefanya engine overhal, nmebadili plug, nmebadili, idle control valve lakini hakuna badiliko, msaada wenu plz?
 
Inachelewaje? Kwamba unapiga jino mara ya kwanza haiwaki, ya pili haiwaki, inawaka ya 3? Kama ndio hivyo, unaweza kuwa unapata changamoto ya fuel pump kuchoka au starter kuchoka.
 
Mwambie fundi umeme aangalie kama umeme unafika katika nozzle hapo ukiwasha gari. Kama haufiki au unasusasua jiandae kutafuta control box nyingine. Kama gari inapoteza nguvu likiwa limewaka hapo akague pump.
 
Fuel pump nlishaweka mpya lakini hakuna mabadiliko na inakula mafuta hatari japo kuwa ina cc1331
 
Inachelewaje? Kwamba unapiga jino mara ya kwanza haiwaki, ya pili haiwaki, inawaka ya 3? Kama ndio hivyo, unaweza kuwa unapata changamoto ya fuel pump kuchoka au starter kuchoka.
Yaan unapiga jino mfululizo bila kuacha baada ya dakika ndoinawaka kwa speed ndogo then baada ya sekunde kadhaa ndipo inajipandisha kwenye speed ya kawaida
 
Ulifanikiwa kutatua hiyo changamoto?
Lete mrejesho
 
Back
Top Bottom