Plan Radeem King
Senior Member
- Mar 25, 2018
- 198
- 127
- Thread starter
-
- #21
Asante sana mkuu kwa infoutofauti upo tukisafari kilometa 1200 tunatofautiana mafuta ya laki moja maintenance yake ni rahisi tatizo ni overall ndio mafundi zinawasumbua mimi nimekaanayo miaka minne bila kusumbua zingatia service tuu rafiki yangu amekaanayo miaka kumi ndio sasa inaanza kuchoka kumbuka engine yake ni kubwa sana bodi ni dogo
GX 110 na Verossa Toyota alichemka. Hasa 110 hata igongane na pikipiki tu, nyoosha ujuavyo hairudi kwa shape yakeHizi gari nazikubali sana. Ni gari ngumu, nyingi utaziona zina namba A B na bado zipo vizuri. Tafuta gx 110 namba A uone zilivyochoka.
Zote no VVTi 6 cylinder. Hamna GX100 ambayo ni 1G kavuNimejaribu kucheki ktk baadhi ya website but naona nyingi zina 1G vvti, and my best option ni 1G KAVU
Zote no VVTi 6 cylinder. Hamna GX100 ambayo ni 1G kavu