Toyota Cresta GX100

Toyota Cresta GX100

utofauti upo tukisafari kilometa 1200 tunatofautiana mafuta ya laki moja maintenance yake ni rahisi tatizo ni overall ndio mafundi zinawasumbua mimi nimekaanayo miaka minne bila kusumbua zingatia service tuu rafiki yangu amekaanayo miaka kumi ndio sasa inaanza kuchoka kumbuka engine yake ni kubwa sana bodi ni dogo
Asante sana mkuu kwa info
 
Nauza Toyota GX 100 nipo dodoma, kwa 2.7 milion kwakuwa nina shida na hela , gari lipo katika hali nzuri kila kitu kizima. njoo na fundi unae mwamini akuthibitishie maneno yangu.


nicheki namba 0756086125 kwa maelezo zaidi.. na picha
 
Zipo vvti na amɓazo sio vvti, ambazo hazina vvti taa yake ya nyuma ni fupi ukilinganisha na yenye vvti, hata show ya mbele zinatofautiana. Yenye vvti matumiz yake ya mafuta ni kawai ukilinganisha na isiyo na vvti.
Zote no VVTi 6 cylinder. Hamna GX100 ambayo ni 1G kavu
 
Back
Top Bottom