kitu ambacho kwa mtu mwenye kipato cha kawaida ni ngumu kuimudu...Sasa si inategemea unatembea kilometers ngapi kwa siku. My fuel bill kwa mwezi ni tzs 500,000 natumia hio Crown. Kwasiku natembea at least 60km
Nikisafiri hio hesabu ya nwezi natumia kwenda na kurudi.kitu ambacho kwa mtu mwenye kipato cha kawaida ni ngumu kuimudu...
Kama kwa ck km 60 inamaana unatumia lita 8 kama inakula lita moja kwa km 7.5 hvyo kwa mwez n kama 240,000/= 🤔🤔Nikisafiri hio hesabu ya nwezi natumia kwenda na kurudi.
Najua hesabu ni janga la taifa, hebu twende taratibuKama kwa ck km 60 inamaana unatumia lita 8 kama inakula lita moja kwa km 7.5 hvyo kwa mwez n kama 240,000/= 🤔🤔
mfano nikachukua crown athlete thn nikawa naendesha weekend tu na j3 hadi ijumaa kwenda kazini na kurud mara moja moja na umbali ni km 3 from home to job siwezi kuimudu kwa!?
Kama umbali ni huo na huna mizunguko isio na kichwa wala miguu haikusumbui. Mimi nakaa 15km na ninapoganga njaa so kwenda tu na kurudi nj 30km bado misele mingine ya kazi.mfano nikachukua crown athlete thn nikawa naendesha weekend tu na j3 hadi ijumaa kwenda kazini na kurud mara moja moja na umbali ni km 3 from home to job siwezi kuimudu kwa!?
noma sana hiyo gari, nliuza hiyo kitu hadi sasa roho inaniumaVanguard ni mnyama sana.
Ukishanunua hutokua na hayo mawazo tena.mfano nikachukua crown athlete thn nikawa naendesha weekend tu na j3 hadi ijumaa kwenda kazini na kurud mara moja moja na umbali ni km 3 from home to job siwezi kuimudu kwa!?
Na vp kuhusiana na gharama ya service ipoje!? Pia na gharama za vipuli vyakeKama umbali ni huo na huna mizunguko isio na kichwa wala miguu haikusumbui. Mimi nakaa 15km na ninapoganga njaa so kwenda tu na kurudi nj 30km bado misele mingine ya kazi.
Kama Toyota nyingine tu hamna maajabuNa vp kuhusiana na gharama ya service ipoje!? Pia na gharama za vipuli vyake
Weka budget 400k kwa mwezi mafuta tuu, ili usije kufungua uzi mwingine unataka kuweka mtungi wa Gas.mfano nikachukua crown athlete thn nikawa naendesha weekend tu na j3 hadi ijumaa kwenda kazini na kurud mara moja moja na umbali ni km 3 from home to job siwezi kuimudu kwa!?
Mshahara wa jamaa ni 500k 😅Weka budget 400k kwa mwezi mafuta tuu, ili usije kufungua uzi mwingine unataka kuweka mtungi wa Gas.
Acha maneno mengi. Hio highway labda uendeshe 80-100kph ndio update hio. Na ulichoweka hapo sio average hio ni flactuating inaweza kusoma hata 30kpl.View attachment 2529185
Kuna watu wabishi sanaa humu JF!
Siku za nyuma kuna watu walikuwa wanabisha
Crown 4GR haifikishi 14km/L
Mpaka wakadai screenshot waone!
Sasa leo nmeekuja na ushahidi hapa[emoji28]
Achane story za vijiweni
Highway crown unaeza pata zaidi ya hii
Kabla hujabishana hakikisha
Gari yako nzima,maintained well,full serviced utaenjoy
Huwezi pata hii kama gari lako umelenga,warning light zimeipamba dashboard,service gari imekopa km[emoji850]
Tumeshahangaika sana kutafuta mileage mwisho wa siku ukikosea ukaovateki lori mbili tu namba inashuka.Acha maneno mengi. Hio highway labda uendeshe 80-100kph ndio update hio. Na ulichoweka hapo sio average hio ni flactuating inaweza kusoma hata 30kpl.
Natumia hio gari kusafiri mwaka wa tatu hii iko kwenye best condition kabisa. Hapa penyewe Jana ninekuja Moshi nimetembea na ndugu yangu ISO M.CodD
Mkuu nimekupatq vizuri sanaAverage ni hii hapa tena hapa ni mwendo mfupi bado inajutafuta
View attachment 2529510
Hio alioweka hata akitaka 30kpl namtumia picha. Sio average. Atoke Dar-Moshi au hata Morogoro, asimame abonyeze button hapo itampa average atuwekee.Tumeshahangaika sana kutafuta mileage mwisho wa siku ukikosea ukaovateki lori mbili tu namba inashuka.
Kupigia mahesabu 14kmpl ni uwongo. Utaipata kwa muda mfupi ila sio ya kutegemea
Mishale ya wese iko juu hewani usawa huu mkuu 🤣Average ni hii hapa tena hapa ni mwendo mfupi bado inajutafuta
View attachment 2529510