Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli hapo ni personal preference. Kati ya hii na crown unachagua crown kweli, duh😊Zote ni za generation moja na ni the same engine ..
Uzito zimepishana kidogo ..crown imezidi kidogo this allows it to be more comfortable and stability ipo poa zaidi..all in all kila mtu ana personal interest zake ila muonekano wa crown ni far much better than mark x
Usilinganishe hio Mark X na hizi crown zetu za 2004/5, tafuta crown same model year na hio mark x, halafu ikibidi tumia zote wiki moja halafu uje utoe mrejesho.Kweli hapo ni personal preference. Kati ya hii na crown unachagua crown kweli, duh😊View attachment 2794968
Crown grs 182 ina muonekano mzuri sana kwanguKweli hapo ni personal preference. Kati ya hii na crown unachagua crown kweli, duh😊View attachment 2794968
Zote ni boat (gari ndefu na pana) ila mark x ina unafuu kidogo ndo maana naprefer mark x.
Kwenye comparison pia watu wengi wanalinganisha crown athlete na mark x ya kawaida ambayo ni kama royal saloon kwa crown. Ili kwenda sawa inabidi uilinganishe na mark x vertiga. Na still hata kwa hizo za zamani bado nitapenda vertiga kuliko athlete.View attachment 2795004
Crown ni nzuri sana ukiwa na michuzi ya kueleweka.View attachment 2796560
Mark x vs crown Athlete
Personal experience
Nmekaa na mark x mwaka na nusu
Kabla ya kurudi kene IST then Crown
Japo haikuwa mpya but mark x ilinipa experience nzuri so nkifanya comparison here my take
1.mark x more sport na iko stable zaidi hasa kene kona kuliko crown nazani kwasababu ya shape yake
2.mark x 4GR inachanganya faster kuliko Crown 4GR
3.Inazidi consumption kidgo Crown same Engine
Kwa Crown
1.more comfortable,quiet and luxurious interior
2.Ina body ngumu kuliko mark x(achana na bumper )
3.Good fuel consumption compare to other V6’s
4.Ina mwonekano mzuri(looks sexy [emoji28])
Conclusion:Hizi gari zinafanana sana japo crown ina option nyingi kutegemea na mfuko wako
Hakuna major setback,muhimu chagua gari utakalopenda zote hutojutia japo Crown utafurahia zaidi(personal experience)
Csj imerudi mjini ndio altezza inayoongoza kwa vurugu kwa sasaHiyo itakuwa ni csJ tezza moja nyeupe ya mavurugu. Iliuzwa Arusha.
Mi nilikuw nakuja pale. Tezza zilikuwa zinafanya tu doughnuts na burn outs ila kwenye mbio ndo tulikuwa tunawaachia watu walioinvest kwenye magari yao sasa.
Ile Aristo ya kijivu niliyokuambia inamaliza 260 hapa hapa Dar unaijua historia yake?
Nimeiona kwenye reel moja ya turning gang nikawa najiuliza ndo yenyewe au, imekuwa nyeusi sasa hivi?Csj imerudi mjini ndio altezza inayoongoza kwa vurugu kwa sasa
Sasa hivi ni nyeusi,ila nahisi ni fujo tu kwenye engine wala akutishi ni 3sgeNimeiona kwenye reel moja ya turning gang nikawa najiuliza ndo yenyewe au, imekuwa nyeusi sasa hivi?
3s ikiwa manual huwa ina uwanda mpana sana wa kuichezea, ila kwa mwendo ni kawaida tu japokuwa crown za 4gr hazigusi ule mziki.Sasa hivi ni nyeusi,ila nahisi ni fujo tu kwenye engine wala akutishi ni 3sge