Tuff
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 300
- 700
Mfuko ukiruhusu chukua benz mzee. Benz miaka na miaka ndo wanaset benchmark linapokuja suala la engineering.Nmeangalia ile video
Ukweli lazima usemwe
Kene performance Germany machine tusilinganishe na hizi Japannese machine kama crown tunazionea[emoji28]
Kampuni kama BMW,Vw,Mercedes wanainvest saana kutengeneza performance engine sometimes wana overengineer ndo sababu engine zao zina faults nyingi kutokana na complexity
Katika maisha yangu ya ujana Golf MK6 lazima ntamiliki
Siku nkijisikia kunyanyasa watu barabarani [emoji23]