100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Mi nafikiri tukiangalia suala la demand and supply, demand itakuwa ndogo na supply itakuwa kubwa kwa sababu Europe na USA watakua wamepunguza matumizi makubwa ya mafuta, hivyo wauzaji wa mafuta watashusha bei cause shehena ya mafuta itakuwa kubwa kuliko watumiaji(supply and demand).Sasa unafikiri kwa uongozi huu wa nani kama mama na machawa wanavyopambana akalie kiti hadi 2030 unafikiri Petroli itakuwa bei gani? Kama kila mwezi inaongezeka Tsh. 150
Hapa kwetu wapiga deal wakiamua kutufanyia roho mbaya ndo hivyo, lakini natarajia mafuta yatapungua bei unless mama na chawa zake waamue kuzingua. lakini sikukatalii maono yako.
Tujiandae kisaikolojia dunia inakwenda ku transform katika hali nyingine kabisa, kuna ambao wata tajirika kupitia fursa zitakazo kuwepo na kuna ambao watashuka.
Ushauri kwa mafundi wa bongo, wajiandae kujifunza kuhusu mifumo ya gari za umeme. kama ulivyosema kuna watu watazinunua.