Huyu mnyama anapokuwa wa kipekee ni uwezo wake kukubali boosts katika hali ya juu kwa modifications ndogo, 2jz ni engines ngumu sana kitu kinachopelekea ku withstand high boost pressure bila ku blow. ngoma ni fully iron block engine wahuni wanaipiga compression ratio kubwa mno and boost it to hell na mashine inaitika.
Lakini kwa sasa kuna technology kama turbocharging systems, direct injection, variable valve timing n.k hii inapelekea engine ndogo kuwa na power kubwa, engine yenye 4 cyl unakuta inaizidi engine yenye 6 cyl.(mfano angalia v6 LC 300 za sasa na v8 kwenye LC 200).
Pia 2jz wanasema ni nzito mno, wengine wanaiita bullet proof(cast iron,), halafu ni kubwa kwa size.
Pia haya masuala ya sheria za kimazingira kutaka gari zenye low-emission inapelekea kusiwe na successor wa 2jz.
Lakini kwa engine ya miaka ya 90's, toyota alitoa kitu, it is the best engine in JDM history, coolest motherfuck!n machine ever. Lakini ndio hivyo inabidi tukubali new tech na progress.