DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
NdO hao haoNmekupata Vizuri mkuu
Kuna sehemu umenichanganya
Kwani kuna tofauti ya saloon na sedan?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdO hao haoNmekupata Vizuri mkuu
Kuna sehemu umenichanganya
Kwani kuna tofauti ya saloon na sedan?
Hata IST ukiweka wese la kibaba lazma uone gari inakulaKumbe simple tu ila watu waongo mara linakula sana kumbe wao kazi kuweka mafuta ya bukubuku
Lexus machine ya kwenda yani wanaifanya Taxi?Dubai Uber ni Lexus ZaView attachment 2774473
maana kabisa. Kufikiri kwamba Taxi inatakiwa iwe mbaya Ni kukosa exposure Na ujuzi Wa mambo
Jumapili ni car meet tu hakuna racing. Racing huwa ni mida mibovu kuanzia saa 6 na kuendelea.Aseee mambo ya watoto wa toun[emoji119]
Iyo Aristo iweke makumbusho tutahadithia vizazi[emoji23]
Vp car meeting bado wanafanya pale?
Maana traffic waliingilia kati+usalama
Nlienda pia baadhi ya Roadtrips za bagamoyo
Tulikuwa tunaanzia pale mwenge OilCom
Juzi kati Jumapili nliona vijana wa teza,Golf,Bmw
Wanafanya Race cocobeach
Namuona Mzee wa kupambania akiwa anapiga left
Huu umeme hakuna msenge yeyote atakaesumbua yani 310HP tena zina 260 KPH hio habari nyengine aisee.Ila crown hii hakuna tezza inayokamata hapa bongo (ukitoa walizoziweka jz engines)
Mzigo una jiko la 2gr na top speed ya 260kph
Hizi mara nyingi ni chinese market ndio zinakuwa za 260KPHHizo crown zaidi ya speed 180 mnazipataje mbona sizioni kwenye site za kuuza magari?
Sent from my CPH1823 using JamiiForums mobile app
Wajerumani wananyooka vyema tu 🤣
Unaipunja Hp Mkuu, mzigo una Hp 300 huko.Huu umeme hakuna msenge yeyote atakaesumbua yani 254HP tena zina 260 KPH hio habari nyengine aisee.
315HP ni ile ya 2GR hio hapo 3GR ni kitu kama 254HP ila kwa mchanganyo wake wa speed ni habari ingine mzee. Nshagusaga GRS204 ya 3GR aisee ule mziki mwengine baba.Unaipunja Hp Mkuu, mzigo una Hp 300 huko.
Subaru sti ikiwa haijafanyiwa modifications zozote (stock) inakaa hapo.
Anakosa goli pale bwana V8🤣🤣hatari kwenye lango ile
Kuna dogo mmoja wa Dom mwaka jana mwezi wa 10 chuma ikiwa ndo imetua alituambia ina 2gr ndo maana nikawa nasema ina hp 300. Kumbe ina 3gr tu.315HP ni ile ya 2GR hio hapo 3GR ni kitu kama 254HP ila kwa mchanganyo wake wa speed ni habari ingine mzee. Nshagusaga GRS204 ya 3GR aisee ule mziki mwengine baba.
Eeh 3GR sema mwendo upo mleKuna dogo mmoja wa Dom mwaka jana mwezi wa 10 chuma ikiwa ndo imetua alituambia ina 2gr ndo maana nikawa nasema ina hp 300. Kumbe ina 3gr tu.
Hio iko na gear 6 kama kawaidaHivi GRS 204 3GR ni gear ngapi?
Mtu kama anamudu ulaji wa 3gr wa mafuta ni bora achukue tu yenye 2gr.Eeh 3GR sema mwendo upo mle
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maelewano tu boss. Nimeshaichoka. Kama bibie akisomeka njoo tu PM tuyajengeNiuzie hiyo tako la nyan nmhonge Depal [emoji17]
Wiki iliopita nimesafir na v8 LC200 asee kiukweli sioni utofauti na crown kwenye swala la comfort inshort...niliinjoy sana safari za crown kuliko LC 200Raha iliyopo kwenye land cruiser kama V8 sio ya kufananisha ndiyo maana viongozi wa nchi hii wanakubali kuangua kilio mbele ya wanainchi ilimradi aendelee kupata neema ya kuishi na magari ya kifahari
Wiki iliopita nimesafir na v8 LC200 asee kiukweli sioni utofauti na crown kwenye swala la comfort inshort...niliinjoy sana safari za crown kuliko LC 200