Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Aseee mambo ya watoto wa toun[emoji119]

Iyo Aristo iweke makumbusho tutahadithia vizazi[emoji23]

Vp car meeting bado wanafanya pale?
Maana traffic waliingilia kati+usalama

Nlienda pia baadhi ya Roadtrips za bagamoyo
Tulikuwa tunaanzia pale mwenge OilCom

Juzi kati Jumapili nliona vijana wa teza,Golf,Bmw
Wanafanya Race cocobeach
Jumapili ni car meet tu hakuna racing. Racing huwa ni mida mibovu kuanzia saa 6 na kuendelea.

Quality centre sasa hivi hakuna tena kukutana barabara haifai tena ile. Sasa hivi kwa ajili ya kubomoana ni M.City, Bamaga au darajani Tanzanite na zimepoa sio kama qc. Maana qc ilikuwa mnaenda mnakutana mnashindana na yeyote mkikubaliana. Siku hizi ni mpaka watu wabishane waamue kushindana ndo wanachagua venue ya kumalizia ubishi wao kati ya mlimani au Bamaga.
Kuhusu hao polisi kulikuwa kuna kakitu kanafanyika pale (sio rushwa) ila siwezi kusema hapa ila tu hawakuwa tatizo.
 
315HP ni ile ya 2GR hio hapo 3GR ni kitu kama 254HP ila kwa mchanganyo wake wa speed ni habari ingine mzee. Nshagusaga GRS204 ya 3GR aisee ule mziki mwengine baba.
Kuna dogo mmoja wa Dom mwaka jana mwezi wa 10 chuma ikiwa ndo imetua alituambia ina 2gr ndo maana nikawa nasema ina hp 300. Kumbe ina 3gr tu.
 
Eeh 3GR sema mwendo upo mle
Mtu kama anamudu ulaji wa 3gr wa mafuta ni bora achukue tu yenye 2gr.

2020 Kulikuwa na crown kama hiyo ya Arusha ilikuwa inauzwa mil.17 ikashuka mpaka 14. Kila mtu anaekuwa interested nayo akifika anakuta ina cc3500 anaachana nayo. Akatokea mshkaji mmoja mtu wa mbio akajilipua akaichukua. Baada ya kuichukua na ye ni mtu wa mbio akawa anakuja nayo hapo quality centre siku kuna jamaa ana subaru yake tena sti akataka watest crown si ikambomoa, hakuamini wakarudia tena na tena matokeo yakawa yale yale. Kuanzia hapo ndo tukajua habari za hiyo injini na masela baada ya kuona mwendo upo wakaachana na ubahili wa mafuta wakaanza kuagiza hizo za 2gr sasa hivi zipo zipo.
 
Raha iliyopo kwenye land cruiser kama V8 sio ya kufananisha ndiyo maana viongozi wa nchi hii wanakubali kuangua kilio mbele ya wanainchi ilimradi aendelee kupata neema ya kuishi na magari ya kifahari
Wiki iliopita nimesafir na v8 LC200 asee kiukweli sioni utofauti na crown kwenye swala la comfort inshort...niliinjoy sana safari za crown kuliko LC 200
 
Back
Top Bottom