Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Imecost hela ngapi?Mgagaa na Upwa inspiration ya project 3sgte.
Gari ya Mlebanoni hii kila kitu kimefanyika hapa hapa Tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imecost hela ngapi?Mgagaa na Upwa inspiration ya project 3sgte.
Gari ya Mlebanoni hii kila kitu kimefanyika hapa hapa Tz
Sifahamu kwa ufasaha zaidi yeye kapitia njia zipi kwenye kurahisisha project yake in terms of cost. Ila kwa vitu ambavyo ni lazima kuagiza nje sidhani kama inapungua dola elfu 4 kodi excluded ie; Ecu, external wastegate, fmic na pipes zake, turbo yenyewe.Imecost hela ngapi?
Jemedaree hii chuma inakufutia 260 kwa urahisi sana barabara ya M.city.
Quality centre pale mpaka inakuja kukatiza zebra ilikuwa inapita na 220+
Garage yake iko wapi au unaweza kunipa acc zake za social media?Sifahamu kwa ufasaha zaidi yeye kapitia njia zipi kwenye kurahisisha project yake in terms of cost. Ila kwa vitu ambavyo ni lazima kuagiza nje sidhani kama inapungua dola elfu 4 kodi excluded ie; Ecu, external wastegate, fmic na pipes zake, turbo yenyewe.
Na hapo yeye mwenyewe ni tuner kwahiyo gharama za kutune kaepuka na ana garage kwahiyo kufunga funga hayo mazagazaga kafanya mwenyewe.
Hizo mambo huwa zinafanyika midnight mchana haiwezekani Mkuu.Ile barabara nlipita juzi saa nane usiku nlimaliza kisahani but ni risk sana coz ina bajaji,boda,taa nyingi
Soo hapo kuna taa unazikata hivohivo japo unakaza roho tu ila linaweza kutokea labkutokea.
Kwa mchana sio rahisi kabisa hata kufukia 180km/hr
Nazani barabara ya Coco beach inafuta vizuri 260[emoji1]
Ipo tabata au viunga hivyo. Yupo Instagram ngoja nitakutumia jina lake la igGarage yake iko wapi au unaweza kunipa acc zake za social media?
iIpo tabata au viunga hivyo. Yupo Instagram ngoja nitakutumia jina lake la ig
Mcheki Jay hapo mautundu yake
View attachment 2784183
Sasa Jay alifanyaga kazi hapo kwa Mlebanon kwahiyo hadi namba zake anazo. Muombe atakupa.Jay mwanangu sana toka hadi namba zake ninazo,ila kwa sasa yuko expensive sana halafu na mimi kwenye mambo ya kupimp si sana,napendelea rim kali tu kwenye gari yangu mambo ya mabody kit hapana aisee 😀
i
Poa mkuuSasa Jay alifanyaga kazi hapo kwa Mlebanon kwahiyo hadi namba zake anazo. Muombe atakupa.
Hizo mambo huwa zinafanyika midnight mchana haiwezekani Mkuu.
Coco nako haiwezekani aisee labda 180 na coco ni very risky kwasababu kuna junctions zile na hadi usiku magari huwa yanakuwepo.
Kabla hawajaanza ujenzi wa mwendokasi Nyerere road venue ilikuwa ni Quality centre pale. Gari zinaanzia Banda la Ngozi pale baada ya reli mpaka Tazara. Kama kipande hicho gari yako haimalizi 180 basi hicho wanakiita chombo cha usafiri sio gari[emoji1]
Hiyo itakuwa ni csJ tezza moja nyeupe ya mavurugu. Iliuzwa Arusha.Pale sawa
Nakumbuka enzi zile tulikuwa tunafanya car. Meeting
Ikifika usiku saa sita team tezza wanapiga. Race ,burn out and drifting [emoji91][emoji91]
Ile tezza DSJ sijui iliishia wapi[emoji119]
mzee unanyoosha sana goti,,,wosia wako usisahau kuuwekea lamination mapema 😀Ile barabara nlipita juzi saa nane usiku nlimaliza kisahani but ni risk sana coz ina bajaji,boda,taa nyingi
Soo hapo kuna taa unazikata hivohivo japo unakaza roho tu ila linaweza kutokea labkutokea.
Kwa mchana sio rahisi kabisa hata kufukia 180km/hr
Nazani barabara ya Coco beach inafuta vizuri 260[emoji1]
Hiyo itakuwa ni csJ tezza moja nyeupe ya mavurugu. Iliuzwa Arusha.
Mi nilikuw nakuja pale. Tezza zilikuwa zinafanya tu doughnuts na burn outs ila kwenye mbio ndo tulikuwa tunawaachia watu walioinvest kwenye magari yao sasa.
Ile Aristo ya kijivu niliyokuambia inamaliza 260 hapa hapa Dar unaijua historia yake?
Hiyo DGA ndo ya Mlebanon huko juu nimeiattach kwa jamaa.Yes namaanisha ile tezza CSJ ebwanaaa hii gari ilikuwa inapendwa ikifika zinapigwa kelele [emoji81]
Halafu kuna ya mshikaji mwingine DGA [emoji91][emoji91]
Na pale ndo nlipoanza kuwafahamu aki joh pimps[emoji28]
Ebwan nipe historia ya Aristo mkuu
Raha iliyopo kwenye land cruiser kama V8 sio ya kufananisha ndiyo maana viongozi wa nchi hii wanakubali kuangua kilio mbele ya wanainchi ilimradi aendelee kupata neema ya kuishi na magari ya kifahariHuwa natamani sana kusafiri na crown umbali mrefu
In my experience Nilitoka Arusha mpaka Mwanza na Brevis Ai250 hyo raha niliyokula sijawahi ona,nilienjoy sana ile safari
Siku nikisafiri na mercedez benz c class sjui kama ntalala
NB;kama sedan safari ndefu unaenjoy vile vipi kuhusu hizi prado LC new model mpya waliopewa mawaziri,kuna wana wanatafuna maisha 😀
Hiyo DGA ndo ya Mlebanon huko juu nimeiattach kwa jamaa.
Hiyo Aristo kama ni shuleni basi tuseme ndo mwanafunzi anaepiga shule nzima.
Kwa hapa Dar gari zote zilikuwa zinabondwa na hio Aristo. Ilikuwa bado akutane na Jason tu wa Chuga nae kama angembonda basi kwa Tz ingekuwa ndo chuma inakwenda kupita sports cars zote.
Halafu jamaa alivyokuwa na roho mbaya kila akija akabonda watu bado anaenda tena kuisuka. Mwishoni akaja kuifunga Nos. Imagine 2jz gte imefungwa Nos hilo balaa lake. Nimesahau exact figure aliyotumia kuijenga hiyo gari (alikuwaga anasema) ila kwa ujumla hiyo gari alikuwa anasema ina thamani ya mil.70 which means aliwekeza zaidi ya mil.40 kwenye kuimodify.
Raha iliyopo kwenye land cruiser kama V8 sio ya kufananisha ndiyo maana viongozi wa nchi hii wanakubali kuangua kilio mbele ya wanainchi ilimradi aendelee kupata neema ya kuishi na magari ya kifahari
[emoji120]Jemedaree hii chuma inakufutia 260 kwa urahisi sana barabara ya M.city.
Quality centre pale mpaka inakuja kukatiza zebra ilikuwa inapita na 220+
Raha iliyopo kwenye land cruiser kama V8 sio ya kufananisha ndiyo maana viongozi wa nchi hii wanakubali kuangua kilio mbele ya wanainchi ilimradi aendelee kupata neema ya kuishi na magari ya kifahari