Ilikata timing belt ikaenda kupinda valve 4,so nahisi fundi akuirudishia vizuri maana ananishawishi ninunue engine nyingine baada ya hii kukosa nguvu ikitembea umbali flan,anadai piston ring zimekufa,ajabu shida imeanza baada ya yy kurudishia valve na anadai oil inapanda hadi kwenye injector na exhaust,so nikaita fundi mwingine kaaingalia kadai alichoona yeye inavujisha sana kwenye pulley ya cam shaft gari haina oil na hata new timing belt imeloa oil,ila engine aitoi moshi na inatoa hadi maji kweny exhaust,hii issue yote inatokea ikiwa mimi sipo dar,so nikirudi huku mkoa ndio nitajua naanzia wapi 😀,but mpk naondoka gari ilikua poa tu,ilipaki karibia miezi 4 dogo siku hiyo apigie misele ikamtikitikia timing na shida ikaanzia hapo