Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Watu wasio na exposure wakiambiwa gari fulani ni taxi ulaya wanaanza kufananisha na hizi carina taxi za bongo.
Screenshot_20231009-150526_Chrome.jpg

Halafu nauli ni kawaida kabisa,ila kwa bongo ukimiliki mercedes wewe tajiri 😀
 
View attachment 2776817
Halafu nauli ni kawaida kabisa,ila kwa bongo ukimiliki mercedes wewe tajiri [emoji3]

Kabisa me mara ya kwanza nimeenda kikazi nchi za wenzetu nilishangaa sana. Nikamwambia mwenyeji wangu hii nauli yake si itakua kubwa sana. Jamaa kasema ni kawaida tu usiogope. Unaiingia ndani chuma safi mpyaa yani taxi mpaka una enjoy

Ni kawaida huko wensetu bmw, VW, volvo au Mercedes kali imewekwa kibao cha taxi, sisi huku ndio tunavimba nazo.

Sisi bongo mtu ana C180 tu, mtaani hatupumui[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanini altezza ya cc 1990 inakula wese zaidi ya crown ya 250 cc?
Kama gari zote ziko nzima hapo Udereva ndo unachangia kwa kiasi kikubwa. Ukiwa na mguu mzito rpm zinafika 3000 na kuendelea lazima gari ibugie. Na je walikuwa wanashindana? Maana tezza manual yenye injini ya 3s inabugia maana una uwezo wa kushift na rpm za 7000 huko.
 
Kama gari zote ziko nzima hapo Udereva ndo unachangia kwa kiasi kikubwa. Ukiwa na mguu mzito rpm zinafika 3000 na kuendelea lazima gari ibugie. Na je walikuwa wanashindana? Maana tezza manual yenye injini ya 3s unaikata 4gr vizuri kabisa ila wese itabugia maana hapo unashift na rpm za 7000 huko.
hii 3s inazilisha hp ngapi mkuu hadi ikae mbele ya 4gr?
 
hii 3s inazilisha hp ngapi mkuu hadi ikae mbele ya 4gr?
210hp tu ila mzigo ni manual mzee hivyo unashift wewe kwenye rpm utakayo sio kama auto inabadilisha ikitaka yenyewe. Na factor ya muhimu kabisa mpaka crown inaachwa ni power to weight ratio. Crown yenye 4gr na yenyewe ina hp 200 huko ila ni nzito kuliko altezza.
 

Attachments

  • IMG_4045.jpeg
    IMG_4045.jpeg
    108.6 KB · Views: 3
210hp tu ila mzigo ni manual mzee hivyo unashift wewe kwenye rpm utakayo sio kama auto inabadilisha ikitaka yenyewe. Na factor ya muhimu kabisa mpaka crown inaachwa ni power to weight ratio. Crown yenye 4gr na yenyewe ina hp 200 huko ila ni nzito kuliko altezza.
Chuma naona ina uwezo wa kutembea mpaka 220km halafu naona dereva kala skuna [emoji119].
 
Ila crown hii hakuna tezza inayokamata hapa bongo (ukitoa walizoziweka jz engines)
Mzigo una jiko la 2gr na top speed ya 260kph
 

Attachments

  • 9b53afdd-c8fa-4330-8959-846cfd251a94.jpeg
    9b53afdd-c8fa-4330-8959-846cfd251a94.jpeg
    141.2 KB · Views: 17
  • 80fef2ec-2461-4822-9a14-8f02c16e85ee.mov
    2.5 MB
Back
Top Bottom