Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Nazungumzia hizi saizi zetu ambao ukiwagusa kidogo anaanza kukutambishia 260

Sent from my CPH1823 using JamiiForums mobile app
Inategemea ila bado probability ya kuchapwa kwa Mjapan ni kubwa.

Si unaona hiyo crown yenye 260kph ni adimu ila kwa European cars sio ajabu. Ina maana hizi European cars zilikuwa designed toka kiwandani kufanya hivyo. Ila toyota kukupa vituz mara nyingi ni mpaka ifanyiwe modifications maana wajapan wana sheria yao inaitwa "Gentleman's agreement" ambayo iliwabana baadhi ya vitu eg; speed, horsepower kwenye soko lao la ndani (japanese domestic market). Ndo maana unaona gari za japan huwa zinaishia 180 ilhali gari hiyo hiyo wakiitengeneza kwa ajili ya soko la ulaya inaenda zaidi ya 180 eg. Tako la nyani 300g na lexus rx300.
 
Attachments

  • IMG_4376.jpeg
    IMG_4376.jpeg
    97.9 KB · Views: 11
Upo sahihi kabisa. Basi tu mm sina flavor na hizo saloon cars. Gari yangu ya kwanza ilikua Grand Mark 2 gx100. Sikuwahi kuenjoy saaana! Always mishe zangu ni vijijini, kila wakati nilikua naonekana kama naendesha taxi tu!

Nikauza nikanunua Nissan Wingroad, pale naweza sema nilikula nayo maisha, na ilinifanya nipende hizi station wagon na SUV cars. Ingawa wingroad nilipata nayo majanga nikauza (kuna thread yake humu niliielezea)

Kwa sasa nipo na hii Harrier tako la nyani and I can't complain [emoji120]
Niuzie hiyo tako la nyan nmhonge Depal 😔
 
Inategemea ila bado probability ya kuchapwa kwa Mjapan ni kubwa.

Si unaona hiyo crown yenye 260kph ni adimu ila kwa European cars sio ajabu. Ina maana hizi European cars zilikuwa designed toka kiwandani kufanya hivyo. Ila toyota kukupa vituz mara nyingi ni mpaka ifanyiwe modifications maana wajapan wana sheria yao inaitwa "Gentleman's agreement" ambayo iliwabana baadhi ya vitu eg; speed, horsepower kwenye soko lao la ndani (japanese domestic market). Ndo maana unaona gari za japan huwa zinaishia 180 ilhali gari hiyo hiyo wakiitengeneza kwa ajili ya soko la ulaya inaenda zaidi ya 180 eg. Tako la nyani 300g na lexus rx300.

2GR kiboko yake majesta[emoji28]

Kila mnyonge na mnyonge wake

Hivi kwa barabara zetu bongo unafika 260km/hr?
Sijaona vipande virefu utamaintain hyo speed hata dakika 5 mfululizo[emoji28]

Nkiwa 180 tu naona naelea vipi huko 260[emoji119][emoji119]
 
Hii chuma ya jamaa anaitwa mo bright future
Anapenda san crown jamaa,yupo instagram
Huyu ndio muanzilishi wa lile group la team crown tanzania..ambalo nilikuambiaga kipindi fulani kwamba ntakuadd humo
 
Back
Top Bottom